Recent content by Mkangwa1965

  1. Mkangwa1965

    Ni mambo gani ambayo wazee wa kitanzania hujutia na hawataki vijana nao yawatokee?

    Heshima kwako madam atakayekupinga atakuwa ana matatizo kiakili umeongea ukweli mtupu!!
  2. Mkangwa1965

    Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    I feel sorry for you nadhan kabla ujafanya judgement na kuwatuhumu waliokuwa wanakosoa utendaji wa chalamila ungepaswa kujua watu wa mahali alipokuwa i mean mkoa wa Mbeya wanasemaje. Nipo mbeya kaka and mambo yanayoendelea Mbeya ni aibu mpaka kufika leo ni siku ya tano tukielekea wiki kuna mgomo...
  3. Mkangwa1965

    China kupeleka chombo Mars na kuanzisha space station inawauma sana Marekani na washirika wake

    By the way niseme tu hongera kwao wote wanaofanya na kutekeleza hizo mssion either awe USA or CHINA but back to the topic ni kweli na ukweli mchungu sana kwamba mataifa yote mawili bado hayajaonyesha dhamira ya dhati kwa nchi zetu za Africa nikirejea argument wanazotoa wadau hapo juu, what i...
  4. Mkangwa1965

    Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Watanzania tuna desturi za ajabu sana kazi ni kulalamika na lawama kwa watu wenye utajiri so unayesema mo hana utajiri wewe una data na takwimu zote za biashara yake au ni stress za maisha na ajira unaleta humu, embu jaribu kuangalia sekta zote katika uchumi wetu the guy ame cover almost every...
  5. Mkangwa1965

    Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Tuacheni ushabiki ndugu zangu so unataka kunambia mo ana fake utajiri wake? hv tajiri no 1 Tanzania unampima kwa njia gan, hv rostam azizi tuliambiwa kipindi fulani ndo tajiri no 1 bongo hv unaweza kunitajia vyanzo vyake vya mapato?!!!!
  6. Mkangwa1965

    Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Mh! sikutarajia ungekuja na lugha chafu chief nazani hoja zingefaa zaid anyway mwambie anunue kama za water com!! halafu samahani nimesahau kukuuliza kwani wewe una utajiri wa shilingi ngap na ni nan washauri wako inaonekana wewe una washauri wazuri!!!🤣🤣🤣
  7. Mkangwa1965

    Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Please be serious unataka kuniambia mo alikurupuka kununua vile vigari bila kupewa ushauri wowote ule wa kitalamu?!! Unakosea sana so ulitaka atumie scania xt model kama hizo za azam kusambaza product kutoka mtaa mmoja kwenda mwingine are you serious na mo hawezi kushindwa kununua scania kama...
  8. Mkangwa1965

    Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Dah!!! you made my day huwa nina shauku kubwa sana ya kujua bei za haya madude mkuu embu tupe kidogo bei hizo maana ukizikuta barabarani mfano zile xt model za asas na zile g series za world oil huwa najiuliza sana bei zake!!!!
  9. Mkangwa1965

    Mama Janeth Magufuli ni mgonjwa kufuatia mshtuko wa kifo cha mumewe Hayati Magufuli

    Kwani madikteta huwa hawazikwi au unaongelea kuzikwa kwa namna gani na kumbuka jiwe amekufa akiwa kashika madaraka kama rais ulitaka azikwaje kwanza msiba wenyewe ulitengenezwa kuwa mkubwa kama promo ya shindano la miss Tanzania!!!!!!!
  10. Mkangwa1965

    Watanzania wenzangu, biashara ya usafiri wa anga (ndege) sio kama Uber jamani

    Mbona kama unawaelewesha watu ambao tayari wameshaelewa na hakuna sababu ya argument nadhan kwa ATCL case yake hipo hapo kwenye no 7 hilo halina ubishi hayo mengine yote ni ziada tu!!!!!!
  11. Mkangwa1965

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Biashara ya ndege popote dunian ni lazima kuwe na startegies za muda mrefu na muda mfupi plus watu sahihi wa kuliendesha shirika that why even fly emirates pamoja na pesa nyingi na ushawishi walionao familia ya kifalme Al Maktoum royal family lakin bado walihitaji watu wenye uwezo kuliendesha...
  12. Mkangwa1965

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Information is power na kama una informations zozote leta hapa tufanye sharing, for the information that i have Ethiopian airline bado ipo vizuri on sky achilia mbali mashirika mengine ambayo yapo hoi bin taabani kama kq, sa, rwandan air. Acha kutuaminisha kwamba mashirika yote yanafanya vibaya...
  13. Mkangwa1965

    Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla pay back period haijafika

    Nimekuelewa mkuu ila huyu mleta mada naona anataka kutulisha viaz pori kulingana na report ya CAG shirika la ATCL achilia mbali kuzalisha faida lakini hata gharama za kujiendesha bado zinaghalamiwa na serikali atlest tungeambiwa kwamba shirika linajiendesha lenyewe lakin bado halijaanza...
  14. Mkangwa1965

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Nashauri wadau pia wanahitaj ushauri kuhusu hii biashara wajue pia kuna up and down in this sector sio mara zote hizo bei zitakuwa kama zilivyo wewe unaweza kuwa shaidi especially at this term hii biashara ilibuma sana even transit ambao kidogo kuna maslahi also biashara ilikuwa mbovu sijui sas...
Back
Top Bottom