Hichi kitu huwa ni nadra sana na inakuwa si habari kwa mkristo kwenda kwenye uislamu kwa hilo ndilo lililozoeleka.
Na kwa kijana wa kiislam anayeufahamu uislamu wake ni ngumu kufanya hayo maamuzi.
Chief usifanye kana kwamba hizo bodi hatuzijui mzee.
Na hicho ni kielelezo tu cha nyaraka za kuhitaji uhalali wa kutambulika kiserikali ila ukweli unafahamika.
Labda kwa swali jepesi tu.
Bodi ya kanisa la Zumaridi linaweza kumuengea yeye akienda kinyume na maandiko...?
Na kama wanaweza naomba...
Weeengi wamecomment chuki na hii inafungua mazito yaliyopo vifuani mwao.
Ila wewe kidogo umekuja kwa hoja na unataka majibu.
Hayo yote uliyoyataja MAPINDUZI, ARAB SPRINGS, na hivyo vinginevyo vyoooote ulivyotaja ikiwa wewe ni muislamu unapaswa urudi katika asili je yamefundishwa wapi kwenye...
Sioni nilipogusa ufungaji wa kanisa.
Nimestick kwa Gwajima kama Gwajima sio kanisa lake labda urudie kusoma kilichoandikwa.
Pia hoja ya kuamini mfumo sahihi na sio chama fulani.
Mimi ni moja ya waTZ wanaotamani hicho kitu ndio maana sikubaliani na vyama vya siasa vyoooote kwa kuwa wengi wao...
Siku nyingine unapaswa ujifunze kabla ya kuandika post yoyote.
Na hili liwe darasa tosha kwa watu wasiojua kama wewe itawasaidia.
Kwenye uislamu hakuna msikiti wa Sheikh Faridi au Sheikh Mazinge ikawa yyndio mmiliki kama ilivyo kanisa la Gwajima, Kanisa la Kakobe, kanisa la Zumaridi na mfano...
Fulsa ya wanayoitumia CCM ni ileile waliyoisoma kwa kipindi kirefu kuwa sisi ni mabingwa wa kujizima data kusahau kila kilichopita.
Ndio maana leo hii wapo wengi wasemao kuwa "Gwajima ana madudu mengi ila kwa hili tunasafiri nae"
Wakasahau kimya chake cha kipindi cha risasi za Lisu pia...
Chief uko sahihi kwa asilimia [emoji817] huku kukwepa majukumu na kuona mwanamke anapendelewa nacho ni chanzo cha wanaume wasiojiamini dhaifu wakaamua kureft group na kuamua kwenda kwa wanaopendelewa.
Hivi 50 kwa 50 ni anguko baya mno kutokea duniani na cha ajabu utakuta na janaume linasimama...
Great thinker ndio wataweza kuunga dotz na kukuelewa usemacho..
Na kwa kuongeza tu ndio maana hutosikia hata siku moja ISIS ikiisapoti Hamas na kinachoendelea inaelezwa wengi wanaouawa ni raia wa palestine na sio wanamgambo maana wao huchokoza kisha hujificha walikojificha....
Sent from my...
HII SITUATION YA KUPINGA DINI AU UWEPO WA MUUMBA IMEANZA MIAKA MINGI MNO HUKO AMERIKA NA ULAYA NA IKAAMINISHWA HADI KWA VIZAZI ILA ILITOKANA NA UWEPO WA DINI WALIZOZIPOKEA KWA WAKATI WAO NA HAKUKUWA NA MBADALA WA KUJUA KAMA KUNA IMANI TOFAUTI NA HIYO NA KAMA WALIAMBIWA BASI WALIAMBIWA MABAYA YA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.