Recent content by mkandarasi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Inasikitisha sana !
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Asanteni wana Mwanza
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nahitaji Punda wa kununua

    Ha ha ha ha,!
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Mwanza nako hakuna Umeme
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kipi ukipendacho kutoka kwa wasabato?

    Jamani sisemi kwa lengo la kukashifu, kwa muda mrefu nimechunguza wasabato marafiki zangu na wengine ninaowajua, nikahitimisha kuwa wasabato ni malaya/wapenda ngono kuliko wakristu wengine na wanapiga kimyakimya. Hebu na nyie wachambueni mnaowajua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge hawa wa CHADEMA ni mizigo isiyobebeka

    Paulina Gekul ni wa ukweli, huwa nasafiri Babati na kushuhudia sarakasi zake nyingi jimboni, anaweza kushika jimbo yule!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha fenesi, changamoto na jinsi ya kukabiliana nazo

    Kiboko zaidi ni ukizichoma hizo mbegu. Ni tamu sana na laini kama kiazi ila kuwa mwangalifu wakati wa kuchoma zikiiva wakati mwingine hupasuka na kutoa sauti kama ya mlipuko, sasa kama ulikuwa unasonga ugali kwenye jiko la kuni ukaweka mbegu mbili tatu kwenye moto ili uendee kugonga mdogomdogo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuzini na watoto wao!

    Hii kitu iko miaka mingi sana, kwa mfano uchagani wazee wa kimachame walikuwa wakitembea na binti mmoja katika familia ambaye anakuwa anapendwa sana na baba wakiwa na imani hilo linaleta mali/pesa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania to prosecute three officials over $41m aircraft leasing scandal...

    Wadau, kwenye hili Kikwete na serikali yake waliniumiza sana. Kashfa ya Airbus nilibahatika kuiona toka inaanza. Huwezi kuamini kwa hapo nilipokuwa nilitoa taarifa zote kwa watu wenye maamuzi. Kwenye hili Shukuru Kawambwa aliwasaidia baadhi ya wafanyakazi wa ATC wakakutana na Rais Kikwete na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    Hii familia ni utata mtupu, Huyu mzee alibadili dini kuwa muislam katika ugomvi wake na kanisa ili aweze kuoa mke wa pili baada ya mke kupeleka mashtaka huko. Yeye mwenyewe (mzee Juma) kwenye Will yake ameandika Nyaga asihudhurie mazishi yake atakapofariki, na alituma kopi kwa mtoto wake, ila...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Nimemuelewa kuwa kundi la wachapa kazi ambao wanaweza kuleta maendeleo ya kiuchumi kwa nchi yetu ni wale waliozaliwa baada ya uhuru (vijana) , wazee walipambana na kufanikiwa kisiasa, sasa ni zamu yetu vijana, na kuhusu kugombea uraisi ni haki yake kikatiba, kama chama chake kikimpitisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la asali

    Wadau kwanza samahani kwa ukimya wangu, hii ni kwa sbb muda mwingi nakuwa vijijini ambako hakuna njia hizi za mawasiliano. Asali ni ya nyuki wakubwa inatokea Handeni Tanga. Aidha nina mawasiliano pia na wafugaji wa Tabora na ninaweza kupata mzigo pia kwao itakapohitajika. Asali ipo kwenye ndoo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la asali

    Ndugu zangu nina mzigo wa asali ambayo haijakorogwa wala kuchanganywa na kitu chochote, ipo lita elfu tatu,ipo kwenye buckets za lita 20, kwa sasa sina nguvu ya kufanya processing au labelling na packing, ninatafuta soko ndani au nje ya nchi jinsi ilivyo, ninaomba msaada kwa yeyote anayeweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nyaraka: Mkutano wa CHADEMA na Rais Kikwete - Ikulu ya Dar es Salaam

    Ndugu zangu, hii taarifa naona ina kosa la kiuandishi, theluthi moja ya 81 ni 55?
Back
Top Bottom