Recent content by mkalimwafrika

  1. M

    JamiiForums Tanzania Best wishes to all udsm students.

    thanx sana bana hop Mungu atatusaidia na hakika tutashnda...ameen
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mishahara kwa walimu

    pumbavi sana wew..czani kama una akil timamu na umewaz hich ulichosema kwn yawzkan hat elimu uliyonay ni ya mulugo....shnz sana wew hbu jitahid kuhshm elimu na kaz za watu...jiangalie san katk kuandk thread
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Albert Mangwea afariki dunia

    sas yeye bwiy unga had kufa....bas a rest tu bana tupunguz na msako wa wabuy unga
  4. M

    JamiiForums Tanzania wanaume na wanawake wasomi

    hhahahaa haya bana....nimefurah san hiy post yako
  5. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni national masturbation day

    mh kumbe ndo maan sabuni zimeuzwa san leo
  6. M

    JamiiForums Tanzania wanaume na wanawake wasomi

    Hivi ni sahihi kwa wanaume kuogopa kuoa wanawake wasomi, mi nadhani c sahih coz mwanaume kuogop kuoa msomi ni kujivua badhi ya kuw kichwa na kumpa mwanamke...achen uoga oaneni na muapndao ragardless wana stutas gan au vp wakuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    ubungo bikira wa ccm......
  8. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Jay aeleza sababu za kujiunga na CHADEMA. Aeleza msimamo wake kuhusu kugombea ubunge

    yes... huna ubongo bikira tena prof karbu kweny ukombozi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania kaul mbiu za pombe

    binafsi naon ipo haja ya kuzuia makampuni kutumia baadh ya misemo kama ya kitaifa mfano...konyagi the spirit of our nation..ikoje hiyo wakuu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupatiwa nyimbo

    ach ujinga wew cc tunatak new independenc wew unatka ukoloni....
  11. M

    JamiiForums Tanzania kuanzia leo sitasikiliza clouds radio wala kuangalia clouds tv

    nakuunga mkon 100%....ishakuw redii ya wahuni tu hii
  12. M

    JamiiForums Tanzania simba na yanga

    Simba baaaaaasi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kiwewe cha CCM kinaipaisha CHADEMA!

    Nape anakiua chama chake jamani, nimeshuhudia maelfu ya wananchi waliokuwa ccm wakijiunga CHADEMA nikiwemo mimi kutokana na kuropoka hovyohovyo hasa kuhusu CHADEMA badala ya kuwaeleza wananchi mafanikio ya chama chake.Kila ninapomsikia mimi asilimia 90 ya hotuba zake ni kuikejeli CHADEMA ,katibu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiwewe cha CCM kinaipaisha CHADEMA!

    Mimi na wenzangu tumeshajiunga CHADEMA baada ya kuona katibu wetu wa NEC itikadi na uenezi nape nnauye anavyoropoka hovyohovyo kila siku kuhusu CHADEMA badala ya kueleza mafanikio ya chama chake kwa wananchi.CCM itasambaratika kabla ya 2015 tofauti na nape anavyoipigia ramli CHADEMA kwani wana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nikitazama uwezo wa viongozi na watendaji naona kwanini nchi imejaa ujinga kuliko

    habari wan janvi,..Awali ya yote namshukuru mungu kw kuzaliwa Tanzania. Kusema kweli nawachukia sana viongozi wangu has kw kuendkeza san maslhi yao binafsi na kusahau kuwa nchi hii ni yetu wote .mfano wanadirik hat kuchkachukua elimu ambayo bas ingetusaidia sis maskin kutokan na umaskin ambao...
Back
Top Bottom