Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
hiki chama bila kurudi mikononi mwa wazee basi CDM inachukua nchi kiulaini kabisa; sasa na sisi tusiandike andike hivi maana tuta-wastua mapema.
unatuamsha utupe dawa ya usingizi.
hiki chama bila kurudi mikononi mwa wazee basi CDM inachukua nchi kiulaini kabisa; sasa na sisi tusiandike andike hivi maana tuta-wastua mapema.
Nape ni Jembe!!lol..Vijana wamepewa uongozi maana hawataki kuongozwa na wazee...Tena Nape awe mwenyekiti na Mwigulu Katibu..
Yuko china anatengeneza kesiHivi Mwigulu yupo hapa Tanzania.?
Maana simsikii bungeni uraiani hata kwenye mitandao.!!
Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?
CCM wamesaidia sana kuenea kwa CHADEMA kwa siku za karibuni...
Hata vijijini ambako walikuwa hawaisikii CDM, siku hizi imekuwa ndiyo stori za vijiweni kwa sababu ya kazi kubwa inayofanywa na Nape na Mwigulu...
Upo sahihi kamanda,Kinana yupo busy kibiashara,Mangula busy na my waifu wake mali mpya,wameacha nyumba kwa wala ndumu Mwigulu na Nape wanaiunguza.
Kiboko yao alikuwa ni Marando Mabere alipowaumbua watekaji, na kama kawaida yao Ccm wakaja na utetezi 'kipumbavu' eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa! Hivi huu ni upungufu wa umakini kiasi gani?????? Badala ya kuwaondoa watuhumiwa katika tope hili, eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa!!!!
udini utawaua magwanda bila siraha ni ukichaa
anadharula jimboni kwake si unajua jamaa yupo karibu na wapigakura wake sio kama mbowe kila siku mwongozo tu.
Hivi Mwigulu yupo hapa Tanzania.?
Maana simsikii bungeni uraiani hata kwenye mitandao.!!
Yuko china anatengeneza kesi
Hivi Mwigulu yupo hapa Tanzania.?
Maana simsikii bungeni uraiani hata kwenye mitandao.!!
Wapo bize na shughuli za uwindaji na usafirishaji wa meno na pembe za tembo.