Recent content by mkakeni

  1. M

    JamiiForums Tanzania Buchosa: Mwanafunzi adaiwa kuchoma Mabweni ya Shule baada ya kusimamishwa Masomo

    Sasa mkuu wazazi wake wanahusikaje hapo Hadi nyumba yao iuzwe?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Issue with tram at first lazima awe na metro card...so may be awe na mwenyeji wa kumsaidia kuinunua ... Cause NY hawapay cash kabisaa kwenye hizo public transport Pia ubber ni nzuri for first day cause itakupeleka mpaka unapoishi just kumpa street no na avenue no...tofauti na public...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina safari ya kuelekea Marekani, nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu

    Hahaa Cha kwanza uwe makini ukifika airport Kuna mashine zile Zina maswali very tricky...soma vizuri uelewe swali ndio ujibu, usipay attention kwa wale Askari wanakuharakisha First day lazima utumie ubber...it's safe and you can pay cash though ni expensive kidogo Next day go and buy a metro...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kiongozi kufuata mkumbo wa dunia ni uongozi wa namna gani?

    Kama kuchanjwa ni hiari ya mtu wewe unaumia kwa sababu gani mkuu? Kwani unataka tukatae kufata Mataifa mengine sis ni kisiwa kwamba we are isolated? Kwamba we are not in a position kuwa infected na kupata severe disease? Please kaa pembeni wewe usichomwe acha watakaotaka wachome. Unavyoitoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

    She don't deserve hata kuwa na huyo baba...Hana nia ya kulea the kid...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumlea mtoto wa mme

    Dada kweli mtoto wa miaka minne unawaza kumpeleka boarding? Kweli mama ni aliyekuzaa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mpenzi wangu mpya ni Mzungu, nashindwa jinsi ya kumuomba pesa

    If una mipango nae ya kuanzisha familia kindly usiombe pesa...pambana na Hali yako...but if ur just having good time muombe....na yy ataelewa uko ki biashara zaidi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

    Manhattan mchanganyiko wa watu ni mkubwa...kule wasenegal ndio wengi..mostly wanazungumza french...ukikutana nao very wakarimu...na wengi wanafanya biashara ya umachinga...cause Wana that movable troleys with cloths na other stuff...life of Manhattan sio expensive sana..u can survive...though...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

    Black Wana maisha magumu huko mbele ...pengine anarudi amechoka sio kwamba ni alikula starehe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanigeria wanavyoingia USA kila siku

    Sure it's not true...cause mfano kutoka JF Kennedy to Manhattan ni mwendo wa Kama 45 minutes...lakini unalipa almost 60$...hapo hujatoa pesa ya fuel na tax
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupitia changamoto kama hii?

    So young doctor who told you it's very difficult to fail clinical exam?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Watu wa IT tunaomba mtueleweshe..hivi haiwezekani kuwa na access ya kununua internate bundles outside the country? Maana wanyonge tumenyongwa sana na Bei ya bundles..tunatamani kuhamia nchi jirani...We had no way out
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuvunja kisimbuzi cha Azam kwa maana walivyotufanyia ni zaidi ya utapeli

    Uko sahihi mkuu...nadhani wamesgatosheka pesa...acha tupungue. Mm pia nahama nirudie kingamuzi cha zamani..AZAM [emoji119]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

    Nimecheka Sana hizi comments[emoji3][emoji3]..but huyu mkuu anaonekana Ana degree ya ushirikina kasoro zana za Kazi.....kupangia wenzie majukumu...wewe unajuaje Kama Ana ndugu Kijiji wanamtegemea?
Back
Top Bottom