Mimi nataka kuona mwisho wake maana hawa jamaa wanajua sana kudandia hoja za cdma kuhusu ufisadi. Hongera dr kwa kuwaamsha maana bila kuwataja pale mwembechai wasinge amka hawa. Da. Wametutafuna vya kutosha sasa wa Tanzania tunasema basi
Mimi nafikili tusimubeze pamoja na mambo aliyoyafanya katika utawala wake lakini nadhani anacho sema si cha kubeza yaliyo pita si dwele tugange yajayo kwani mmesahau kama alikwenda kuongeza elimu US? na Miaka ya jana sio ya leo kuna utofauti mkubwa wa uelewa KATI YA KIPINDI KILE NA SASA HATA...
Cdm iangalie uwezekano wa kuwa na mwakilishi kwa kuanzia kila kata ya tanzania hii. Vijana wanaoishi mijini wa kila kata hapa nchini waangalie uwezekano wa kuchangia chama katika kata husika ,tuwe na kijana mwenye elimu ya kati asiye mwoga atusaidie kueneza chama. Mimi niko tayari kuanza na...
Dada Regia.
TUNASHUKURU KWA TAARIFA HII, KWANI JANA PIA NILIANGALIA KATIKA KIPINDI CHA KIPIMA JOTO PALE ITV WAKATI WANAJADILI KUHUSU KATIBA, KAMA ULIBAHATIKA KUANGALIA NA KUSIKILIZA UTAUNGANA NA MIMI KUONA NAMNA CCM WANAVYO POTOSHA UMA WA WATANZANIA, KWA KUPITIE KADA WAO WA PROPAGANDA TABWE...
Labda mlitaka awe amesoma Marekani na kukulia Uingereza na kufanya kazi Canada ndo mngesema cv yake ni safi kwa mjibu wa michelle,hiyo cv ni tosha, hata hivyo ni kijana anaye jua maisha halisi ya machali wa AR kwani angekuwa amesoma Marekani asinge subutu kupigania haki mpaka akapigwa na...
ISIJE SIKU NYINGINE AKAONGEA AKIWA MJENGONI NA AKASEMA NI MAONI YAKE BINAFSI TENA ANADILIKI KUSEMA NANUKUU mwanafunzi akiwa wa mwisho kwenye mtihani darasani watamwambia ajiuzulu kusoma? SASA AG WETU NI WA MWISHO ANAFANYA NINI SASA JK AMETEUA AG WA MWISHO NINA MASHAKA NA UTEUZI WAKE.
Kuna siku watu watachukua sheria mkononi hakya mungu inauma sana. Unapoona mambo yanafanyika kienyeji hongera dr kwa ujasiri wako tupate watu kumi kama wewe nchi inabadilika
Imani yangu ni kwamba kila jambo lina mwanzo na pia lina mwisho wake tutakuja jua tu mliliki wa nchi yetu tutakuja mpata mzalendo mwenye uchungu wa nchi yetu .na ninaimani atapatikana na hao wanaodhani nchi hii ni mali yao wajue hilo,
wewe sio GENIUS BRAIN UNAJIPACHIKA MAJINA YASIYO YAKO HAYO MANENO ULIYO ANDIKA HAYANA MSINGI TAFUTA MANENO MENGINE ETI GENIUS hawezi andika upuuzi huu.
Amekaa kimya kama alivyokaa kimya Slaaa, kwani wote hao ni viongozi ambao walihubiri siasa za udini. Na mara nyingi huwa hawadumu kwenye...
huo mvuto anao usema ni wa aina gani labda anamaanisha kitu kingine lakini kama ni sura CDM haiko kwa ajili ya kuonyesha sura ila kwa ajili ya ukombozi wa kweli wa mtanzania,:hungry:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.