Tanzania Inamilikiwa na Nani, au Ni mali ya Nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Inamilikiwa na Nani, au Ni mali ya Nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Jan 4, 2011.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Tangu Nyerere aondoke madarakani, viongozi wetu waliomfuata wamekuwa hawana uchungu na nchi yao. Mwinyi alifungua kopo kwa kusema kila mtu ruksa kula mezani kwake. Baad ya mwinyi akaja mkapa na mikataba tata na ya ajabu. Hapo ndio wakina Rostam Aziz, Edward Lowasssa wakapata Mwanya. Leo ni Kikwete ambaye ameuza nchi kwa Waarabu na wageni wengineo. Kikwete Mwenyewe ameingiza familia yake na rafiki zake wa karibu katika umilikaji wa nchi. Kila kashfa Kikwete yumo hau ameusika kwa namna moja au nyingine. Kikwete amekuwa akiitumia nchi kama mali yake binfasi.Kikwete ametugharibia nchi kwa kuwa mfujaji namba moja wa rasilimali zetu, hasa na safari zake za ovyo zisizokuwa na maana kabisa

  Marafiki zake na ndugu wamekuwa wakipewa vyeo kama pipi ilhali mtanzania mwenyewe anazidi kudidimia kwenye wimbi la umasikini. Wakina Makamba waamiliki viwanjwa vikubwa kupita maelezo nchini. Makamba ni kama anamiliki robo ya Kigamboni aambako anawafanyisha vijana wa JKT akidai kwamba ni practical training, kwenye shamba lake. Wanafanya mambo makubwa ya ajabu bila yeyote kuwagusa.Ridhiwani anamiliki nyumba ya Tsh. Billioni 4,000,000,000 Jamani watanzania,Kazi ya maana hana, hizi hela Ridhiwani kazitoa wapi. huyu jamaa kila ufisadi mkubwa yumo? Je nchi yetu inamilikwa na nani, masultani au Watanzania?
   
 2. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Mmiliki wa hii nchi ki ukweli ni mafisadi na wageni wakiongozwa na marais wote isipokuwa Nyerere, wananchi ni vikalagosi tu,hatuna lolote lile katika nchi hii sisi ni wageni watumwa,Kweli wazungu walipo sema mwafrica anafanana na Nyani kweli na ni haswa hasa Mtanzania,Tena nyani mjinga na taahila.Kwani tunashuhudia nchi yetu inabakwa na tupo kimya kama maji kwenye mtungi huu ni upuuzi halafu tunakaa kimya eti viongozi wananguvu.Huu ni upuuzi na fikra za Nyani yaani Mtanzania.Viongozi ni wachache tu inakuwaje wawashinde watu walio wengi karibu milioni 39.9 ukiondoa viongozi yaani hadi wa kata na vijiji? Kweli Nyani wajinga hawa.Hii si nchi kabisa.
   
 3. N

  Nonda JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  FISADI-ORIGINAL

  Hili jina lako linajibu suali ulilouliza mkuu,

  Lakini tunaweza kuongezea kuwa wenye nchi wanasubiri ushahidi kamili!!!
  Wananchi wakishapata ushahidi kamili basi watachukua mali yao.
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Tanzania inamilikiwa na Wahindi kwa msaada mkubwa wa wananchi wa Tanzania wenye akili tia-maji tia-maji!!!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Maono yako ni finyu, Kikwete ndie aliekubali kuyafichuwa madudu yote yaliyofanywa wakati wa Mkapa.
   
 6. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Finyu ni wewe mwenyewe unayetetea ufisadi na maovu inayowaua ndugu zako watanzania. Mafisadi, Mungu anawalaani na mtakufa kama mbwa
   
 7. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kaka

  ina maana nyani mwenye akili zake timamu atumuwezi kabisaa (he he he) haki-ya-mungu.
   
 8. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Rostam ndiye mmiliki wa maraisi wa tanzania haswa mbumbumbu kikwete
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Finyu anaesema Nyerere na Mkapa wamejenga, aseme wamejenga nini nasi tumonyeshe wapi walipoharibu. Nimekuwekea kidogo tu hapo juu. Jibu, lipi hapo juu la uongo!
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Ufinyu huo, na chuki binafsi kwa kuwa tu, RA ni successful businessman na good politician.

  Kikwete we mwenyewe unamzimia, timely and unprecedented decisions. Hakuna ampatae kwa sasa.
   
 11. m

  mkakavala Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imani yangu ni kwamba kila jambo lina mwanzo na pia lina mwisho wake tutakuja jua tu mliliki wa nchi yetu tutakuja mpata mzalendo mwenye uchungu wa nchi yetu .na ninaimani atapatikana na hao wanaodhani nchi hii ni mali yao wajue hilo,
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  chokochoko za JK zimetuchosha sasa hivi anasafiri nnje kimya kimya
   
 13. KIPANYA

  KIPANYA Member

  #13
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ndugu yangu pete sio ndoa! hata kama kayafichua hayo unayoyaita madudu je katumia dawa gani kuyatibu? alichokifa kayaamisha kutoka sehemu moja kuyapeleka sehemu nyingine ili yakaendelee kudhuru watu, Rafiki kesi ya ngedere nyani hawezi kuihukumu,Tukubali tu hii nchi si ya watanzania, tushukuru mungu makubwa yakwao wenye nchi yao, madogo yakwetu wa lala hoi.
   
 14. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  weweee unajua nyuma ya pazia ya safari za huyo mkwere, analazamisha kujipatia fedha kiharali kwa safari haramu.

  Mukulu gani anasafiri hadi anamfunika waziri wake wa mabo ya nje. sasa si bora aitoe hiyo wizara!

  Nchi hii inamilikiwa na wahuni wachache pamoja na wahindi uchwara kwa kushirikiana na dola nenda Serengeti mbugani wanavyojenga mahotel kama hutazimia.

  Nenda Loliondo, kama utaona hata mnyama, kila kukicha ni afadhari ya jana.:peep:
   
 15. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  najua ni mali ya watanzania, ila sijui kama kun mmiliki mwingine zaidi ya watz wenyewe, kama ni kweli basi nchi imeshauzwa..
   
 16. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  sio siri kwa safari jamaa amefunika sio mchezo yaani kama hakuna foreign minister?
   
Loading...