Kalenda Zenye Picha Dr Slaa na Wabunge wa CHADEMA

STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,770
553
Ndugu Zangu wanaJF, Hii biashara ya kuuzwa kwa Calenda za CHADEMA mbona kama inahijumiwa, kwani zinatolewa chache mno kiasi cha watu wengi wamekuwa wakipanda dau ambalo nimenunua mimi.

Naomba kuwauliza wahusika kama ni CDM waongeze kiasi kwani inapatikana kwa taabu sana kiasi cha unamwelekeza mtu aende akachukue inakopatikana lakini anakosa hadi mara kadhaa.

Tunaomba kufahamu kama CDM wanahusika na Uchapishaji basi waongeze na ziende hadi katika ofisi za wilaya wapo watu kibao wanazihitaji, kama mimi nishatuma kama mbili hivi wilayani watu wanazihitaji.

Vile vile tupeni ambako zinapatikana kwa bei ya jumla tufanye hiyo biashara ya kuziuza maana watu watazinunua hadi mwezi wa nne.

Ahsanteni, Katiba Mpya lazima hadi JK amesalimu amri 2011 mwaka wetu
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

Utahama wewe na nani?
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

Toka lini ulikuwa CHADEMA. Baki huko ccm na usanii wenu.
 
maendeleo hayaji kwa kuwa na handsome boy, tourist man or the likeness bali yanakuja kwa watu walio makini na wenye sura kali akikuangalia tu kama wewe ni mwizi unaanza kutubu mwenyewe, hao ndio tunaowataka. kwa hiyo unaposema kuwa CDM haina mvuto sioni ajabu kwa sababu medanganyika kwa sura nzuri na mvuto lakini hamjafika popote zaidi ya kukosa kabisa tumaini, TAFAKARI
jamani chadema imeshapoteza mvuto hakuna mwenye ya katiba yake hata wagawe bure
 
Utahama kutoka wapi kwenda wapi? Ebu nikumbushe kidogo..
hizo kalenda hazina haja na wala tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani cdm si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.
 
Kama wanashindwa ku-supply na ku-distribute calenda, JE? wataweza ku-suply na distribute resource za nchi?

Hiki chama pamoja na viongozi wake bado hawajakomaaa, kuwaachia nchi ni kufanya suicide Tanzania, hakuna mtaalam wa aina yoyote na kiongozi mwenye sifa ya aina yoyote pale chadema.

Mbowe na Slaa ni wataalam wa nini ????
 
huo mvuto anao usema ni wa aina gani labda anamaanisha kitu kingine lakini kama ni sura CDM haiko kwa ajili ya kuonyesha sura ila kwa ajili ya ukombozi wa kweli wa mtanzania,:hungry:
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

kwanza hazina maana kabisa,labda wangetengeneza kalenda za mawaziri kivuli!
 
Kama wanashindwa ku-supply na ku-distribute calenda, JE? wataweza ku-suply na distribute resource za nchi?

Hiki chama pamoja na viongozi wake bado hawajakomaaa, kuwaachia nchi ni kufanya suicide Tanzania, hakuna mtaalam wa aina yoyote na kiongozi mwenye sifa ya aina yoyote pale chadema.

Mbowe na Slaa ni wataalam wa nini ????

wamejaa wachaga tupu pale,ni chama cha kifamilia zaidi,ukinyanyua mdomo inakua zogo! chadema kushika madaraka kuiongoza nchi ni sawa na kuruhusu binti yako aolewe na mlevi! hivi huyo slaa ndio awe rais wa tz? mara 1000 Zitto anafaa wengine pale hakuna lolote!
 
jamani chadema imeshapoteza mvuto hakuna mwenye ya katiba yake hata wagawe bure
Mvuto wameupata lini? wangekua na mvuto wangeshinda uchaguzi! kupata majimbo 20 kati ya 239 imekua nongwa! kweli masikini akipata ****** hulia mbwata!
 
maendeleo hayaji kwa kuwa na handsome boy, tourist man or the likeness bali yanakuja kwa watu walio makini na wenye sura kali akikuangalia tu kama wewe ni mwizi unaanza kutubu mwenyewe, hao ndio tunaowataka. kwa hiyo unaposema kuwa CDM haina mvuto sioni ajabu kwa sababu medanganyika kwa sura nzuri na mvuto lakini hamjafika popote zaidi ya kukosa kabisa tumaini, TAFAKARI

rais lazima awe presentable bwana!
 
Kalenda na kofia nafikiri ni Biashara siyo siasa

Mod peleka hii kwenye jukwaa la wajasiriamali, ni mradi mzuri tu.
 
Mvuto wameupata lini? wangekua na mvuto wangeshinda uchaguzi! kupata majimbo 20 kati ya 239 imekua nongwa! kweli masikini akipata ****** hulia mbwata!
jamani mbavu zaangu zinapishana kwamaana umenichekesha sanasasanasanasanasanasanasaaaaaaana,kazi kweikwei,ila ujumbe wako umefika,wanasema msg sent.
 
Hizo kalenda hazina haja na wala Tanznaia haitofaidika kwa chochote na kuwapo kwake kwani CDM si chama tawala. Wasijaribu kuhujumu uchumi wa wanachama wetu. Vinginevyo tutahama chama.

u r a Poilitical Hermaphrodite, upo CCM, u r so arrogant, idiot even knowing that we have
u r records u r not CDM still u pretend, hypocrisy will kill u, tatizo lako ni mjinga hadi unajisahau who u r, being house boy is a problem.
 
Zinatolewa na kupatikana kwa shida sana, ila ni kwa sababu hazikai mikononi mwa wauzaji. Acheni ujinga hii ni biashara, sijui kama chadema wanafaidika lolote ila zinatoka sana, nimeongea na muuzaji hapa mwanza kwa nini anatembeza kalenda za chadema ndio anaweka mbele akasema hizi ndio zinatoka ukitanguliza za serikali ya jk watu wanatema mate. Nikasema basi endelea na biashara dogo analalamika zikiisha anapata shida kuzipata. Soma kalenda wapigie printers wan simu zao ndio utapata msaada. Kuna mjinga mmoja eti cdm wameshindwa kudistribute jamani ulofa mbaya sana tujitahidi kuushinda upite mikononi kwa wengine
 
Back
Top Bottom