Recent content by Mkakatika

  1. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Kwetu ni bajeti ya wizara:cool:
  2. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kihispania

    Ni kweli kabisa. Origin ni Latin: casa=house,castle; orare/oratum=to pray/prayer hence oracion na de=of.
  3. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania HP Spectre Laptop

    Mkuu hii inapatikana wapi Tafadhali?
  4. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania HP Spectre Laptop

    Asante mkuu. Ipo vizuri sana mkuu kwa specs na portability pia
  5. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania HP Spectre Laptop

    Salaam wanajamvi. Naomba kujuzwa juu ya bei kwa new na refurbished HP Spectre x360 13-ae098nz Laptop i5/i7, 8GB/16GB RAM, 512GB/1TB SSD. Kama kuna mdau anayo tafadhali nicheki hapa au PM. Asanteni.
  6. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Natafuta pa kusoma programming courses

    Wanajamvi Salaam. Ninaomba jujuzwa mtaalam wa Java au any other programimming language anayetoa tutorials. Please let me know.
  7. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa tumbo

    Wanabodi tafadhali Masada wa daktari au hospitali ya mtaalam wa matatizo ya tumbo kuuma kitovoni. Vipimo vya awali vilionyesha typhoid mwingine dalili za appendix. Kwa Arusha au DAR tafadhali.
  8. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Mchumba huyu sasa simuelewi

    Kinadharia ni mchumba ila kiuhalisia huyu ni mke inabidi awe na sifa za mke. Ninafikiria kuchepuka maana chaakula cha mgao nimechoka. Akina dada mwenzenu afanyayo asaidiwe vp? Au nasaidiwa na mwenzangu Mimi mshika Pemba tu?
  9. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Mchumba huyu sasa simuelewi

    Asante kwa ushauri wako. Kisheria tayari ni mke. Tunajipanga kubariki Muungano wenu. Kipindi hiki wapenzi huwa na hisia na upendo wa kujali sana. Kama mwanzo ndio huu sijui mwisho wake.
  10. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Mchumba huyu sasa simuelewi

    Mkuu hiyo yaweza kuwa kweli njia za uzazi lakini haonyeshi kujali na kujuti Tabu ninayopata Mimi. Sina Amaninahisi labda Sipotena moyoni mwake
  11. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Mchumba huyu sasa simuelewi

    Wanajamvi ninamchunba wangu ambaye nimeishi naye kwa miaka miwili vizuri. Hivi karibuni amekuwa analala usingizi mzito sana kiasi kwamba hatambui kama Mimi nipo. Madai yake ni uchovu wa kazi. Lakini hata wikiendi asipoenda job ni kusinzia Kila wakatina alalapo ni usingizi wa pono. Mimi nahisi...
  12. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Usingizi ni ugonjwa?

    Sasa kwa usingizi huu kwa wanandoa inakuwaje? Maana akijitupa kitandani ni hadi asubuhi
  13. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania IPAD 4G LTE na Ipad 2

    Thanks Hinfay I will visit the place soon
  14. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania IPAD 4G LTE na Ipad 2

    Wadau naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua au kutumia vifaa hivyo hasa utendaji wake na bei zake. Hapa bongo wapi zapatikana? Asanteni
  15. Mkakatika

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kununa na kususa kwa wanawake...

    Kununa au kususa wakati mwingine ni kutengeneza mazingira ya kutoka nje. Hivi mwezi mzima kimya kimya mwanamke akitongozwa street na jamaa aliyemsumbua muda mrefu na anaonyesha kujali si ndo mwanzo wa kumkubali na kucheat!!
Back
Top Bottom