Nimejaribu kupitia mitandao tofauti nadhani Sound & Vision Ltd ambao wapo Arusha ndio wanauza bei rahisi tofauti na wengine.Salaam wanajamvi. Naomba kujuzwa juu ya bei kwa new na refurbished HP Spectre x360 13-ae098nz Laptop i5/i7, 8GB/16GB RAM, 512GB/1TB SSD. Kama kuna mdau anayo tafadhali nicheki hapa au PM. Asanteni.
Asante mkuu. Ipo vizuri sana mkuu kwa specs na portability piaNimejaribu kupitia mitandao tofauti nadhani Sound & Vision Ltd ambao wapo Arusha ndio wanauza bei rahisi tofauti na wengine.
Mwezi ujao nitapitia ilo duka kuiangalia kama bado itakuwepo, kama itanivutia zaidi ya laptop niliyonayo basi nitaichukua.
View attachment 838094
Hp spectre x360 ConvertibleSalaam wanajamvi. Naomba kujuzwa juu ya bei kwa new na refurbished HP Spectre x360 13-ae098nz Laptop i5/i7, 8GB/16GB RAM, 512GB/1TB SSD. Kama kuna mdau anayo tafadhali nicheki hapa au PM. Asanteni.