Recent content by mkadiriaji majenzi

  1. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Kuna siku nilitaka kuuliza vipi Mzee kazi ulipata?
  2. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Orodha tukufu ya Wanawake maarufu niliowahi kuwahusudu na kuishia kuwala kwa macho

    itakuwa ww n mtoto wa miaka ya 2000
  3. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Ulianza kujamiiana ukiwa na umri gani?

    Mada kama hizi zifutwe mapema
  4. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na "golddiggers" kuna aina ya wanawake ambao mimi nawaita "marriage-diggers"

    Ndio JF ina uhuru lakini Washkaj kuweni na kiasi cha maneno...una mke wewe au una mtoto wa kike au una Dada zako?
  5. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusiana na masuala ya mizimu!

    Wewe una mtazamo wako ambao unauamini kwaiyo usimchoshe jamaa kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu...Huamini mizimu full stop
  6. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusiana na masuala ya mizimu!

    inawezekana wewe ndio Mjinga
  7. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Mada za kitoto hizi
  8. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Hayati Rais Mwinyi ndiye aliyenifikisha hapa nilipo leo

    Kikwete alikuwa katibu wa Vijana CCM Nachingwea lindi Sio Masasi Mtwara..Usijidai unajua kila kitu
  9. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Yani na Dogo leo kaamka anaumwa kumpeleka Bochi hawaitaki NHIF asee..Hii Bima kweli taka taka
  10. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Umeme Tatizo limeisha bado Sukari na Dollar

    Nachingwea Jana yamefika malori yana shehena ya sukari ya Bagamoyo sugar saivi sukari ni Tsh 3000-3200.
  11. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Apa tulipo Umeme Haupo Toka Mchana
  12. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Iyo nyumba na gari kuwa nayo by 30's sio issue..Issue ni una financial freedom na nyumba na gari ulivo navo ndio ulivokuwa unavitaka kwenye izo plans zako
  13. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Binafsi na kwa umri niliofikia pamoja na mapambano ya maisha naona kufanikiwa kwa kiwango kikubwa ni namna umeweza kuzitumia fursa au bahati ulizopata sasa apa inategemea mtu na mtu na bahati yake wengine bahati inakuja direct kabisa anapata nafasi flani nzuri au dili flani na linampa mafanikio...
Back
Top Bottom