Recent content by mkaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania msaada kwa hili

    Mama mkwe noma anampenda mkwewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania napenda wengi

    We siyo mzima nenda kapime
  3. M

    JamiiForums Tanzania "Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

    Acha hizo wote wanawake weupe wanajiona sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Hata hakimu naamini alikula kidogo2 cha zombe aache zalau na kujidai mpuuzi huyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aibu gani???

    Jamani akina mama watu wazima jalibuni kuvaa nguo za heshima, mama miaka 40 unavaa kinguo cha ajabu hadi mtoto wako anakushanga acha hh.
  6. M

    JamiiForums Tanzania I'm addicted to "BEKI TATU"

    Ivi wewe jitahidi kufanya mambo ya mhimu, mf we ni mwanafunzi kazana kusoma acha anasa na ma beki 3
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na pombe

    Sijaelewa??
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

    Kama huna kiuno usiipende tarabu, tarabu kiuno babu eeeee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya umeibuka...kaa chonjo

    Pole, hata hao wanatafuta
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tigo kimbilio la matapeli hasa madalali wa nyumba Dar

    Dah!kweli makubwa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Kanisa kutoa orodha ya wauza unga

    Usipotaja we muhusika basi we sio kiongozi
Back
Top Bottom