Recent content by mk20

  1. M

    Utapeli wa Mo ndio utaonekana sasa

    KUNA WATU WANAKAA KUMLAUMU MOO TU ..MO HANA TATIZO LOLOTE LILE KUUZA WACHEZAJI NI JAMBO LA KAWAIDA KWA TIMU NA PIA LINAKUWA IMEPITISHWA NA BODI NZIMA YA TIMU..SIMBA KUTOLEWA CAF SI MAKOSA YA MO BALI WALIOHUSIKA NI WACHEZAJI KUWADHARAU WAPINZANI
  2. M

    Matumizi ya Gb WhassApp

    WhatsApp mbili zote za nini ?
  3. M

    Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    WEWE UNAONEKANA NI MFAMASIA AMBAYE HAPENDI KUONA MA CO KUITWA MADAKTARI ..TOFAUTI KUBWA YA MD/NA CO NI KATIKA KUINGIA DEEP KWENYE KUSOME , ,MD WANASOMA DEEP ZAIDI KULIKO CO ILA VITU NI VILE VILE NDIO MAANA WOTE NI MADAKTARI TOFAUTI NI LEVEL ZA ELIMU
  4. M

    Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

    Mambo kama haya mungu mwenyewe anajua cha kumfanya ila ningekuwa na uwezo wa kumkamata huyu nishampija mapanga
  5. M

    Sisi tunaiga muziki wa Amapiano na siyo wao kuiga Visingeli vyetu

    SENGELI NI NYIMBO ZA WAVUTA BANGI TU HAZINA MAADILI YOYOTE USIIFANANISHE NA ANAPIANO BEATS
  6. M

    Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

    Sio siri ila naona kuna mtu kama amenisaidia ila nilichokuwa nataka kukuambia mtu amenisaidia hapo chini kuelezea ... Muhimu kujaribu kuelezea dalili zote alizokuwa nazo huyo mtoto pale unapokwenda hospitali ili apate matibabu sahihi
  7. M

    Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

    Unaweza kunicheki nikuulize maswali kidogo ? Mimi sio daktari wala sina nia ya kufanya biashara yoyote tu nia nikutaka kukupa muongozo
  8. M

    Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    [emoji16][emoji16][emoji16]uko vizuri
  9. M

    Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

    ACHA MADOGO WAFAULU KAMA MITIHANI ILIVUJA HILO SIO KOSA LAO NI KOSA LA WATU WA WIZARANI KUVUJISHA.. MWANAFUNZI YEYE KAZI YAKE NI KUFANYA KAMA WIZARA WALISHINDWA KUZIBITI NI KOSA LAO SIO LA WANAFUNZI.....PIA USITEGEMEE ZAIDI KUFAULU MITIHANI YA MAKARATASI TU KWA SABABU PAMOJA NA KUWA MITIHANI YA...
  10. M

    Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

    Ivi unajuwa mateso wanayopata au unajisemea tu warudie ..miswahili sijui vipi imekaa kiroho mbaya na chuki hivi huoni kama muda unaenda
  11. M

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hutaki uume usimmame nazani utakuwa na matatizo ya akili
  12. M

    Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    Sasa mbona mumekazania wazanzibari wajiite watanzania kama hutaki tulia maenzako ajiite
  13. M

    Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    INAONEKANA WATU WENGI WANACHUKIA WAZANZIBARI JUU YA ASILI YAO . SASA NA NYINYI WATANAZANIA SI MUJIITE WAARABU KWANI MUMEKATAZWA
  14. M

    Kwanini wazanzibari wengi weusi na machotara wanaikana asili yao

    MLETA MADA UNAONEKANA UNAUMIA SANA KWANI NAWEWE UKITAKA SI UKATAE UTANGANYIKA WAKO
Back
Top Bottom