Matumizi ya Gb WhassApp

Matumizi ya Gb WhassApp

Wadau mliochangia mada yangu asanteni.Knowledge mliyonipa imenisaidia kukagua Gb WhatsApp na kujiridhisha kuwa hakuna password.
 
Mkuu mpige chini tu na sisi tupate chakula. Maana unatafuta sababu ya kumuacha tu.
 
Wakuu naombeni msaada. Naona Sasa hivi hizi WhatsApp zote Zina link moja kwa moja na official WhatsApp. Zamani nilikua naweza kutumia official na hizi za developers Ila kwa Sasa nikijaribu kwenda play store inanionyesha kuwa tayari ninayo. Najaribu WhatsApp business lakini inagoma ku install.
Napataje WhatsApp nyingine maana nahitaji kuwa nazo 2.kwa Nina FM whatsapp
 
WhatsApp mbili zote za nini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom