Recent content by mjwahuzi

  1. M

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    very interesting pamoja tunasonga mbele
  2. M

    Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC

    chapa kazi mama kairuki.tuvushe alipotuacha au alipotukwamisha naiko
  3. M

    Masasi: Majambazi mawili yauwawa na polisi, risasi zarindima!

    wachache wanaofanyakazi yao vizuri ni budi kupongezwa.hata hivyo jamii ithubutu kutoa taarifa za awali kabla ya uhalifu kutendeka.
  4. M

    TANZIA: Bi Kidude afariki dunia!

    hukuacha dunia kama ulivyoikuta, mchango wako utakumbukwa.R.I.P
  5. M

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    let this happen to ccm member to prove the speaker's power and commitment kwa maneno yake ya jana. anxiously waiting
  6. M

    Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

    rest in peace bro
  7. M

    Kibonde clouds fm kuwa mzalendo pia serikali iwe makini na matangazo kama haya

    mambo ya msingi ya kitaifa na utaifa yanapashwa kuheshimiwa na kuenziwa.Amin alitaka kuteka ardhi ya watanzania anayesema kuwa siyo kweli basi na aje na ushahidi wa kina wa kupinga haya.akumbuke mwalimu alisema ni kwanini tunaingia vitani kama ana sababu tofauti athibitishe
  8. M

    Front Page ya Gazeti la Uwazi

    sijalisoma gazeti lakini nahofia wakaongea kitu tofauti na kichwa cha habari.hope kama ni tofauti basi nao ni uhalifu kama uhalifu mwingine
Back
Top Bottom