Rais Kikwete amteua Bi. Juliet Rugeiyamu Kairuki kuwa mkurugenzi mtendaji wa TIC

Huo umaskini ni kutokana
na UCCM wao, na wala sio Ukristu wao. Maendeleo ya nchi hayasukumwi kwa
sera za dini, bali kwa sera za serikali iliyopo madarakani wakati huo
(ambayo muda wote imekuwa ya CCM). Ndio maana tunatoa wito kwa wazalendo
wa nchi hii, wakristu kwa waisilamu na wenye dini nyingine, wanawake
kwa wanaume, vijana kwa wazee, kuunganisha nguvu zao ili kuiondoa CCM
madarakani na kukiweka chama ambacho walau kimeshajijenga kiasi fulani
(CHADEMA), badala ya kuanzisha chama kitakachoanza moja, au
kitakachotumia nguvu kubwa na muda mrefu kuibomoa CCM. Haya mambo ya
kuunganisha CUF na CCM ni mbinu tu za CCM kugawanya kura za wazalendo
ili kiendelee kubaki madarakani kuendeleza umaskini huo tunaolia nao.
Haya mambo ya kuwatumia BAADHI ya waisilamu wailaani CHADEMA ni mbinu
nyingine ya CCM kuzigawanya kura za wazalendo. Kama unalalamika na
umaskini wa nchi hii, basi jiunge na kundi linaloelekea kuiondoa CCM
madarakani, na wala usiwe mmoja wa hao wanaotumiwa na CCM kuzigawa kura,
wala usiwe mmoja wa hao wanaosema CHADEMA ni cha wakristu, wala usiwe
mmoja wa hao wanaosema CHADEMA ni cha wachaga, tutafika

mkuu mi nafkiri kwa kuwa vyama vyote hivi CUF, CCM na CHADEMA, tayari vinachembe ya udini basi tuachane navyo tujaribu NCCR kuwapa nchi tuone mabadiliko ambayo kila siku wanatuambia wataleta, kwa chadema kushika dola hakuna jipya litalokuja zaidi ya yaleyale ya ccm, mgawanyo tu wa wabunge wa viti maalum umeleta ubazaz na udhulumu je wakipewa resource za taifa si ndo msiba kabisa shekhe?
 
Now that I know that she is an "imported material" I cant stop asking myself the following questions1. What competence does she carry to be given such a sensitive executive post?2. How informed is she in Tanzania's goverment policies on ivestimets and investors?3. What is her working experience with regards to working with Government? Has she ever work in Tanzania?4. Why her???Has she contested for the post?5.How old she she?God forbid that she should not at anytime been a "host" of our "great" appointing authority during trips abroad .
 
  • Thanks
Reactions: Awo
Huo umaskini ni kutokana na UCCM wao, na wala sio Ukristu wao. Maendeleo ya nchi hayasukumwi kwa sera za dini, bali kwa sera za serikali iliyopo madarakani wakati huo (ambayo muda wote imekuwa ya CCM). Ndio maana tunatoa wito kwa wazalendo wa nchi hii, wakristu kwa waisilamu na wenye dini nyingine, wanawake kwa wanaume, vijana kwa wazee, kuunganisha nguvu zao ili kuiondoa CCM madarakani na kukiweka chama ambacho walau kimeshajijenga kiasi fulani (CHADEMA), badala ya kuanzisha chama kitakachoanza moja, au kitakachotumia nguvu kubwa na muda mrefu kuibomoa CCM. Haya mambo ya kuunganisha CUF na CCM ni mbinu tu za CCM kugawanya kura za wazalendo ili kiendelee kubaki madarakani kuendeleza umaskini huo tunaolia nao. Haya mambo ya kuwatumia BAADHI ya waisilamu wailaani CHADEMA ni mbinu nyingine ya CCM kuzigawanya kura za wazalendo. Kama unalalamika na umaskini wa nchi hii, basi jiunge na kundi linaloelekea kuiondoa CCM madarakani, na wala usiwe mmoja wa hao wanaotumiwa na CCM kuzigawa kura, wala usiwe mmoja wa hao wanaosema CHADEMA ni cha wakristu, wala usiwe mmoja wa hao wanaosema CHADEMA ni cha wachaga, tutafika

Swadakta,

Ni akina nani walianzisha dudu la CCM kama sio maaskofu wenu mkishirikiana na mwenyeheri wenu (Padri Sivalon). uzalendo hauji kwanza kama hatujautokomeza udini hapa nchini. Since independence mmekuwa mkihakikisha mnaweka interest za dini mbele kuliko utaifa na uzalendo na matokeo yake ni kuwa hakuna maendeleo ya maana nchini. Chadema vile vile mnakwenda kwa boriti hiyo hiyo ya udini. Ukisoma matamko yenu between the lines mfano tamko la Lema kuhusu udini nchini na jana la mbowe kuhusu muungano ni boriti la udini limewakaa. Mwishoe waislamu wanawaona kuwa simply ni chama cha wakristo na kaskazini. mie sina UCCM wala siko Chadema ila kimsingi nasikitika kuwa 2015 tunaweza kupata kiongozi mbovu kwasababu tu misingi yetu ya maamuzi sasa hivi tunaendeshwa na boriti la udini.
 
Hongera Bi Juliet. Usiwasahau Wakristo wenzako kwa nafasi zitakazojitokeza hapo za ajira. Mungu akubariki
 
Kama JK aliwateua hawa kwa kuwa ni wakristu, basi ni sahihi kabisa kusema JK ni mdini. Ila kama aliwateua kwa kuangalia sifa zao za elimu, utendaji mzuri na uadilifu, basi JK sio mdini na aendelee kuwateua wenye sifa hizo nzuri hata kama wote watakuwa ni wakristu!

Kwani hakuna Muislam mwenye Elimu, utendaji mzuri na uadilfu? Kubali au kataa Vasco Da Gama ni mbaguzi anapelekwa pelekwa na Mwanya,,,
 
Now that I know that she is an "imported material" I cant stop asking myself the following questions1. What competence does she carry to be given such a sensitive executive post?2. How informed is she in Tanzania's goverment policies on ivestimets and investors?3. What is her working experience with regards to working with Government? Has she ever work in Tanzania?4. Why her???Has she contested for the post?5.How old she she?God forbid that she should not at anytime been a "host" of our "great" appointing authority during trips abroad .
IPECACUANHA research ndogo ya google inajibia baadhi ya maswali uliyouliza. Nilichokipata kwenye mtandao.....competence yake ni kwenye financial market infrastructure-ambayo imejumuisha resource mobilization kwa ajili ya miradi mikubwa ya uwekezaji ukanda wa SADC- mfano kwenye mtandao inaonyesha amewezesha Muritius kupata mradi wa usd 3 billion kwa ajili ya real Estate project- this is just onde deal- kwa hakika - ukitaka kubaina kwamba hili ni jembe.....angalia leo Mary Nagu amejibu Bungeni kwamba mwaka wa jana wote......Tz imeweza ku atteact only usd 650 million...

How is she informed on tz government investment policies- bila shaka atakuwa competent, especially considering the fact that amepitia interview 3 tofauti.....kuanzia 1) Deloitte, 2) then Special Inter-govermental Panel na 3) mwishowe interview ya Bodi. Kwa vyovyote vile, masuala yaliyoulizwa mara zote yalihusu policies zinazohusu uwekezaji.

What is her working experience in working with government- kwa nafasi yake katika SADC Banking Association amepata sio tu uzoefu wa kufanyia kazi na serikali moja, bali serikali 16 kusini mwa Afrika. Kwenye mtandao inaonyesha amekuwa na frequent consultations na magavana wa mabenki ya nchi za SADC.

Why her? She contested for the post: swali hili ndugu ni subjective....why not her? Nafasi ilitangazwa na Deloitte.....hivyo process ya interview ilifanyika na Bodi ya TIC ilifanya interview.

How old is she? Hivi kweli swali hili lina mantiki yoyote? Kwamba angekuwa na umri wa miaka 69 ndio ungeona anafaaa.....au untaka kushangaaa ukiambiwa ana miaka 25. Dunia ya leo tuna CEOs wana miaka 25. Kwa mujibu wa mtandao huyu bibie ana miaka 38. Hiyo habari ya host wa great appointing authority ni simplistic argument!
 
Mwangalie Mdini mwingine huyu,,,yaani Sura yako kwenye Avatar na roho yako ilivyo zinaendana kabisa aisee
Waislam ni dhaifu kiutendaji. Tazama Mwinyi na sasa JK walivyo wadhaifu. Kwa hiyo ni bora serikali yote ikahodhiwa na Wakristo tu.
 
Waislam ni dhaifu kiutendaji. Tazama Mwinyi na sasa JK walivyo wadhaifu. Kwa hiyo ni bora serikali yote ikahodhiwa na Wakristo tu.

hahaaa! Akili kama hizo ndo zimegeuza Makanisa kuwa vilinge vya kuchimbulia mapepo na mashetani badala ya ibada ya kumuabudu Mungu! Kama hilo mlikuwa mnalijua ilikuaje 2005 mkamwita Jk kuwa ni chaguo la mungu ina maana mungu wenu haipendi nchi mpaka awachagulieni kiongoz asie mtendaji? Udini umewakaa sana nyie!
 
Kwenye minor position kama hizo mnatangaza ili muambiwe si wadini zile za ubaloz,makatbu wakuu wa mawizara kmykmya cz mnajua kilichojfcha humo ni akna..........
 
IPECACUANHA research ndogo ya google inajibia baadhi ya maswali uliyouliza. Nilichokipata kwenye mtandao.....competence yake ni kwenye financial market infrastructure-ambayo imejumuisha resource mobilization kwa ajili ya miradi mikubwa ya uwekezaji ukanda wa SADC- mfano kwenye mtandao inaonyesha amewezesha Muritius kupata mradi wa usd 3 billion kwa ajili ya real Estate project- this is just onde deal- kwa hakika - ukitaka kubaina kwamba hili ni jembe.....angalia leo Mary Nagu amejibu Bungeni kwamba mwaka wa jana wote......Tz imeweza ku atteact only usd 650 million...

How is she informed on tz government investment policies- bila shaka atakuwa competent, especially considering the fact that amepitia interview 3 tofauti.....kuanzia 1) Deloitte, 2) then Special Inter-govermental Panel na 3) mwishowe interview ya Bodi. Kwa vyovyote vile, masuala yaliyoulizwa mara zote yalihusu policies zinazohusu uwekezaji.

What is her working experience in working with government- kwa nafasi yake katika SADC Banking Association amepata sio tu uzoefu wa kufanyia kazi na serikali moja, bali serikali 16 kusini mwa Afrika. Kwenye mtandao inaonyesha amekuwa na frequent consultations na magavana wa mabenki ya nchi za SADC.

Why her? She contested for the post: swali hili ndugu ni subjective....why not her? Nafasi ilitangazwa na Deloitte.....hivyo process ya interview ilifanyika na Bodi ya TIC ilifanya interview.

How old is she? Hivi kweli swali hili lina mantiki yoyote? Kwamba angekuwa na umri wa miaka 69 ndio ungeona anafaaa.....au untaka kushangaaa ukiambiwa ana miaka 25. Dunia ya leo tuna CEOs wana miaka 25. Kwa mujibu wa mtandao huyu bibie ana miaka 38. Hiyo habari ya host wa great appointing authority ni simplistic argument!
Where can I read the information on her experience? On the SADC Banking Association website information is scant. Apart from listing her as Project Manager there is nothing much. Please assist with a link, especially on how she assisted the USD 3 bn/= project.
 
Kwenye minor position kama hizo mnatangaza ili muambiwe si wadini zile za ubaloz,makatbu wakuu wa mawizara kmykmya cz mnajua kilichojfcha humo ni akna..........

tutajie balozi au Katibu mkuu aliteuliwa Kimya kimya, Naona sasa yale matango pori mliyolishwa kumchukia jakaya mnayatapika, Mbinu yenu hii ya kumsema jk kwa sababu ya dini yake itampa ushujaa maana wa Tz wanaa akili sana ndo maana 2010 walipuuza maelekezo yenu ya waraka na miongozo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom