Recent content by Mjuni Lwambo

  1. Mjuni Lwambo

    Tafuta pesa uheshimike

    Afadhali wewe, mimi hata kwenda siendi.
  2. Mjuni Lwambo

    Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

    Wewe subiria tu Oktoba ukatiki, Polepole humuwezi, unachoweza ni kutiki tu.
  3. Mjuni Lwambo

    Saa ya Kikwete (PHILIP STEIN) inauzwa bei gani?

    Hiyo saa imekaaje, mbona kama inataka kumkata mkono!
  4. Mjuni Lwambo

    Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Nani aliyetaja vichaa, ama umekosea kunukuu?
  5. Mjuni Lwambo

    Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Hakuna mtu aliyekufa ndugu, unafurahi na kutukana bure tu.
  6. Mjuni Lwambo

    Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

    Hakuna hicho kitu, Litrump lipo linadunda tu.
  7. Mjuni Lwambo

    Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Ujinga ujinga tu, imani za kipumbafu pumbafu tu, sijui mikosi mara sijui kufunga riziki, yaani ni upuuzi upuuzi tu.
  8. Mjuni Lwambo

    Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

    Yeah. Mguu mmoja wa Lissu haufanyi kazi. Asante kwa watu wasiojulikana.
  9. Mjuni Lwambo

    Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Lissu anapojitetea anatoa elimu kwa umma. Kama uma hauruhusiwi kusikiliza hakuna sababu ya kujitetea. Kama mimi ni Lissu nakaa kimya tu hadi waninyonge.
  10. Mjuni Lwambo

    Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Kwa hiyo hapo hukumu ikitoka ndio wanatangaza au wanamhukumu kimya kimya tu bila watu kujua?
  11. Mjuni Lwambo

    Ukweli ni kwamba Trump kampa Putin mapokezi ya heshima kubwa sana na yenye Umakini mkubwa mno

    Kuwasema sema watu ni moja ya mijadala humu JF ndiyo maana hapa tunawasema Putin na Trump. Kwa hiyo ukiwa mentioned usipaniki, unatakiwa kujibu hoja.
  12. Mjuni Lwambo

    Ukweli ni kwamba Trump kampa Putin mapokezi ya heshima kubwa sana na yenye Umakini mkubwa mno

    Hapo tuko pamoja. Umesema vizuri, haya mambo yako wazi hata mtoto anajua. Cha ajabu Bukyanagandi anajifanya haelewi, sasa sijui tumuweke kundi gani, maana hata watoto wamemzidi. Labda ni mzee sana kikongwe!
  13. Mjuni Lwambo

    Ukweli ni kwamba Trump kampa Putin mapokezi ya heshima kubwa sana na yenye Umakini mkubwa mno

    Amka usingizini. Trump ni puppet wa Putin. Putin ndio alimuweka madarakani Trump kwa mara ya kwanza na ndio kamuweka tena kwa mara nyingine. Biashara iliyopo ni kuhakikisha Putin anapata kila anachotaka, iwe ni Ukraine au kwingineko duniani.
Back
Top Bottom