Recent content by Mjukuu wa Mwamba

  1. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naona mnanichenga kunipa jibu
  2. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naulizia suala hili mbona kimya na mlisema mtashughulikia siku za kazi na hamjanipa mrejesho mpaka leo au niende makao makuu kuulizia
  3. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nitashkuru mkionyesha ushirikiano
  4. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimewatumia muda sio mrefu angalia dm yenu
  5. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipia umeme hii sasa inaenda mwezi wapili na nguzo ipo ndani ya mita 30 ila sijafungiwa mpaka leo na kuna mfanyakazi wenu anaomba rushwa ya ngono ili aweze kufunga umeme kwangu tena anamuomba mke wangu na ashajulishwa na haogopi na kasema kama anataka umeme amkubalie kwanza ndio umeme uingie...
  6. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji102]
  7. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Tatizo ukiwa mvivu wa fikra na elimu ndogo ndio utafikiria huko fanya kazi hela mbona ipo nje sina cha urithi hata kimoja na wewe inaonekana ndio kati ya wale wanaokaa kijiweni wanasema maisha magumu raisi hatufai wakati mashamba yapo kibao ya kulima huko kijijini sasa wewe kaa mjini upige...
  8. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Me nina gari na nyumba na mke na mtoto mmoja na nina miaka 28
  9. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askari wenye vyeti feki

    Mkishakunywa chibuku mnatoa uzi wa ajabu sana, ndio maana tz vyeti feki havitoisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    Miaka 35 awe hajaoa? Huyo mwanaume atakuwa na matatizo infact nipo tayari ila mke ninaye
  11. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania NAUZA LAPTOP TOSHIBA ipo Dar es salam

    Unapatikana wapi?
  12. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kwa mtu mwenye aibu, siku ya harusi yake afanyaje ili kuondoa aibu?

    Apige vyombo tu bapa moja aibu kwishneeeiiiii
  13. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania ATCL inahujumiwa, ukikata tiketi kwa mawakala unaambiwa mtandao unasumbua

    Mdudu atambaaye ukutani #sipendagiujingaujingamimikwamaswaliyakijingajinga[emoji35] [emoji35]
  14. Mjukuu wa Mwamba

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna sperm bank(Bank ya shahawa) na mayai ya kike?

    Kama mtu anataka mtoto aje tu kwangu ntampatia mbegu kitandani
Back
Top Bottom