Namkubali sana Filikunjombe,maana huwa hana mambo ya kusifia,ni kusema ukweli tu,kilichonishangaza wenzake hawampigii makofi,ila lusinde na wenzake wakitukana,wanashangaliwa
Haya watu wa Mbeya kaeni mkao wa kupewa vyeo,mambo ndio yameanza hivyo,sitoshangaa huko mbeleni hiyo wizara ikawa na Wanyakyusa tu,kama ilivyokuwa wizara ya fedha ya Mramba na Meghi.
Duh kwa style hii,yaani kila siku huyo bibi anaomba apelekewe kwa maaandishi tu,naomba unipe mfano mmoja wa alichowahi kujibu kuhusu hayo maandishi...wapi ushahidi wa Lema....!? na ule wa Wenje..???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.