Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,932
- 30,045
Mkuu makamanda wamepagwa kweli kila mmoja anakuja na ushahuri wake.
Teh teh teh
Naona unajiandikia comment kwa simu na kujijibu kwa Laptop, Pro-CCM mna shida Sana
Mkuu makamanda wamepagwa kweli kila mmoja anakuja na ushahuri wake.
Teh teh teh
Kamamda msome Dr.Slaa kiduchu hapa chini.Huyu cha pombe labda Urais angeweza maana kuna watu wa kumzuia asinywe pombe. Ubunge hawezi maana atakuwa analala baa.
Kamamda msome Dr.Slaa kiduchu hapa chini.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe aina ya gongo. Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroad Slaa, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Kasulu Vijijini alisema kama gongo itatengenezwa kwa mitambo maalum itaondoa mianya ya rushwa kwa polisi ambao wamekuwa wakiwakamata wanaotengeneza kwa kificho na kuwafanya vitega uchumi vyao."Gongo sasa hivi ni haramu sababu inatengenezwa kwa kificho katika mazingira machafu, tukishika dola tutataka SIDO itengeneze mitambo ya kutengeneza gongo ili iwe katika hali ya usafi,".
Huyu Mhongo sio mwanasiasa haya mambo ya ubunge atayaweza wapi..? Ana majibu ya nyodo na hanaga busara kwenye kujibu hoja za kuudhi.. Hebu arudie mambo yake ya kisomi aliyokuwa akiyafanya kabla ya kuingizwa siasani na JK..
Anatafuta uwaziri...
Mbona alishaboronga first time alivyopewa..? Aliingia na arrogance na wakam-fix faster na attitude yake..