Wassira aendelea Kulala Bungeni-Aibu

Mjadala wa leo jinsi ulivyo mtamu!, yeye analala?. Alafu eti ndie mshauri wa Rais!! kazi ipo
 
Hawa ndiyo wanaotia hasara taifa kwa kulipwa posho bila kazi na kuingia mikataba ya ajabu ajabu.
Bora kunyo****nga tuu
 
Sory au ana mimba....!!?coz sura yake na yeye mwenyewe huwa sielewi yupo specie gani mpaka huwa inafika mahali naanza kuhisi labda specie yake ilisha potea au yupo kwenye species za mimea maana...duh!!
 
Alipiga kampeni Arumeru mwezi mzima bado ana usingizi alikesha kwenye vikao vya kupanga wizi wa kura mwacheni alale jamani tena alipita kwenye jimbo lake bila kupingwa
 
Hivi wasira akienda jimboni kwake akasikia na kulalamkiiwa kuna mtendaji kama dakatari au mwalimu analala wakati wa kazi atapendekeza nini?

kwani huko jimboni anakwenda sasa!yaani huyo ndio alikuwa wa kwanza kujiuzulu,hakuna lolote aanalofanya!!
 
Ni sasa hivi inaonyeshwa kwenye TV Wassira akiendelea kupeta kwa kulala saana bungeni
Msisahau anatumia dozi! Hamwachi tu kumsemasema think tank wa taifa? Alishawaambia anatumia dawa -sijui ni ARVs au dawa gani ziletazo usingizi! Hongera JK kwa uteuzi tukuka
 
Back
Top Bottom