JK kukutana na Wazee wa Mkoa wa Dar J'nne kuwaeleza serikali yake haiendeshwi kwa kushinikizwa

Mkuu Tume ya Katiba
mh Pinda hana tatizo ila mwenye shida ni Rais wako mbona shein wa huko kwenu kesha badili 2 time? huoni hilo au kwa machogo sawa?
 
Nikujikaanga kwa mafuta yao wenyewe! Ni kawaida yao huwa wanakuja na majibu mepesi sana kwa maswali yanayoumiza vichwa vya walala hoi.
 
Ninawaza kwa sauti! Hivi ule utaratibu wa rais wa nchi kukutana na wahariri wa vyombo vya habari na kuruhusu kuulizwa maswali mbali mbali ya nchi ulipigwa marufuku na sheria ipi! Hili la kuongea masuala nyeti ya taifa yanayohitaji kujadiliwa na kuuliziwa maswali kwa style ya kuhutubia wazee, tena wa chama kimoja ndo inaruhusiwa na sheria. Mwenye kumbukumbu anasaidiye, ilikuwa lini mwisho wa kuongea na wahariri wa vyombo vya habari hapa nchini.
 
Kiukweli mimi sijaamini kama ni kweli, unajua wakati mwingine tusipende kukisia mambo, mbona hujatoa sourse ya hili jambo mkubwa, ila kama ni kweli!! Sina jina la kumuita huyu president we2.
 
Too late. Keshamaliza kipindi kimoja na sasa yupo nusu ya kipindi cha pili, na amejitahidi to his level best. Too late my friend. Mwache amalize apewe mwingine na kelele zitakuwa hizohizo. Kwani hata JK Nyerere aliyeleta uhuru si alilaumiwa tuu? Binadamu hawaridhiki bana. Kwani Libya walikuwa wanatunzwaje na serikali lakini bado wakamuua Gaddafi? Nani mzuri atapendwa Tz? Wewe?

Hv We Huyu Kikwete we anakupa nini hasa mpaka unamtetea kwa vitu visivyo vya maana.
 
Rais Mrisho Jakaya Kikwete ni hakika anawaelewa Watanzania kwa kiwango kikubwa! LAKINI Watanzania BADO kabisa hawajamueelwa Rais wao ... So Bad!!! That gives Mr President the mandate to do whatever he wish at anytime and can use any method ..dare to challenge this?
 
"Wala usimshuhudie jirani yako uongo. " (Kumbukumbu la Torati 5:20).
 
Mm nipo tofauti kidogo na wachangiaji wengi!

Wakiondoka hawa Mawaziri wa sasa WATEULIWE AKINA NANI?Kuna mwadilifu kweli kabaki ndani ya CCM?
 
Hajakupa nini wewe hadi unamtolea machungu yako yote?

Hata kama ukiwa mwanachama wa CCM nchi inavyoongozwa na Kikwete ni jambo la kushangaza ila endelea kumfagilia kwa sababu labda hujajua shida za watanzia au maisha wanayoishi wengi wao.
 
Na hawa wazee wamezidi kutumiwa na JK kama c.o.n.d.o.m , inabidi nao wajitambue sasa.
 
Mm nipo tofauti kidogo na wachangiaji wengi!

Wakiondoka hawa Mawaziri wa sasa WATEULIWE AKINA NANI?Kuna mwadilifu kweli kabaki ndani ya CCM?
Kwa hiyo wewe unataka hawa waendelee tu kwa kuwa hakuna mwadilifu ndani ya magamba?!. Carcass thinking.
 
Nitawashangaa hao wazee wa dar watakao sikiliza upuuzi wa mzee wa kaya,kwani kama ugumu wa maisha na wao wanaguswa, lakini kwasababu wamezoea kahawa na kashata na wakipewa kashata na birika la gahawa wanashangilia kama mazuzu.
 
Back
Top Bottom