Recent content by mjitabulinga

  1. mjitabulinga

    Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" alia na uhaba wa sadaka

    Awa ombee maisha yalainike,Skuizi watu tunakimbizana na maisha sio kuangalia ma Tv.
  2. mjitabulinga

    Wabeba mabegi mgongoni wanavyosumbua ndani ya daladala

    Wanakela sana hivi mbona haya mambo hayakuwepo hapo siku za nyuma,sasa hivi MTU anabeba begi kumbe jioni mke wake anamuagiza aje na mazaga,wanaume tuna fail wapi?
  3. mjitabulinga

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    "Ukitoa droo ujanani uzeeni utapiga penati"
  4. mjitabulinga

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    "Usikasilike maisha umeyakosea mwenyewe"
  5. mjitabulinga

    Kwanini wake wa maaskari ni wakorofi na washari-shari?

    Ebu jaribu kumuuliza FFU atakujibu.
  6. mjitabulinga

    Nimewaambia huo upuuzi ishieni nao huko huko

    Hayo yanatokana na ma Facebook,ndomaana me situmii ma facebook sababu ni rahisi mtu kujua siku yako ya kuzaliwa,hayo mambo kwangu ni mwiko ntauwa mtu.
  7. mjitabulinga

    Nyota zinazofuatana anga ya Tanzania

    Kwaiyo zilikua zinaelekea kenya au?
  8. mjitabulinga

    Nyota zinazofuatana anga ya Tanzania

    Na kutoa pongezi kwa timu ya taifa kwa kushinda gori 2-1
  9. mjitabulinga

    Hili jambo la leo limenitoa machozi kwa kweli

    Kiduku lilo aja wahi kukwama hata kidogo.
  10. mjitabulinga

    Jiji la Tanga lina watu ambao hawapendi kabisa kufanya kazi ngumu

    Awa watu nawajua sana,yaani ukimwita mzazi aje akusalimie mjini,wanakuja familiya nzima hadi madogo,sasa sijui huko nyumbani shughuli zinaendaje.
Back
Top Bottom