Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,475
Kwanza si kitu cha kawaida kumkatalia msafiri kutoka nchini kwako bila sababu. Hawakuwa na sababu yoyote ya kumkatalia kutoka nchini.Bora ninyamaze, hivi vitu huwa ni vya kawaida unless you are not a frequent traveller. Ni kuwa mtu kutoka Nigeria kuja Tanzania hawezi kupata viza on arrival like wise. Usisahau kwa vile kuna miunga inakamatwa na wa west Africa, lazima maofisa wajiridhishe na kujiridhisha ni kufanya delay ya makusudi
Bora hata wangesema wanamshuku anaingiza madawa nchini, wakamkatalia kuingia. Sasa mtu anatika, unamkatalia asitoke ili iweje? Unataka akae nchini umoe makazi na kazi?
Akisema mmenikatalia kuondoka, nalikita hapa bongo, nioeni work permit, kazina sehemu ya kukaa na mshahara n8naotaka, maana mmenikataza nisirudi kwenye kazi zangu, mtamtimizia?
Pili, unapomlatalia mtu asitoke nchini kwako, akikwambia hana pa kukaa na anataka umpangie hoteli ya hadhi yaje, utampangia?
Tatu, wahalifu wapo, lakini kuna kitu kinaitwa reasonable doubt. Huyu dada si muhalifu, angekuwa muhalifu asingejiweka mitandaoni hivi. Sasa hao maofisa waliona sababu gani ya kumchelewesha? Na ninaweza kueleea kama mtu kachelewesha katikewa kwenye mstari, kaulizwa maswali, halafu kaachiwa. Huyu kacheleweshwa mpaka ikabidi aongeze siku za kukaa Tanzania, kwa sababu gani? Alivyooeleka issue kwa wakubwa wakaona hana kosa. Sasa mtachelewesha wangapi hapo airport?
Na kila mnapochelewesha watu wasio na hatia, ndivyo mnavyopoteza uwezo wa kukamata watu walio na hatia.
Ujunga gani huu?