Recent content by MJINI CHAI

  1. MJINI CHAI

    Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Kwa utaratibu zilizowekwa kuzingatiwa vinginevyo utaanza uoya...... Kama ni..... 1. Nyumba ni ya Urithi ambayo imefunguliwa Mirathi basi mikataba ya mauziano iliyofanyika Kwa Mwanasheria anayetambulika,oamoja na Hati ya usimamizi wa Mirathi ambaye naye atakupa form ya kukutambulisha kuwa wewe...
  2. MJINI CHAI

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Sasa hapo Mimi nimefanya nini...?
  3. MJINI CHAI

    Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

    Mambo yanaanzaga kidogo kidogo kama hivi......!!
  4. MJINI CHAI

    KERO Responded Wakazi wa TAZARA (Dar) na maeneo jirani tumeathiriwa na moshi wa malighafi zenye sumu zilizolipuka kwenye godauni

    Kuna Diwani Fulani alipata shida sana alipolifuatilia swala la eneo hilo Kwa ujumla....Mwisho Diwani alinyanyua mikono juu na hatimae kukabadilishwa mpaka kati ya wilaya ya Temeke na Ilala ili kumkata kidomodomo......kazi kwelikweli, yetu macho.....
  5. MJINI CHAI

    PreGE2025 Kwaheri Ndalichako, karibu Jimboni

    Waulize ndugu zake watakueleza ni malalamiko ya kutowashika mkono hata pale walioomba kufanya hivyo..... Wazee wa Msikiti wanahusianaje hapo.....!!!???
  6. MJINI CHAI

    Mongella kuwa katibu mkuu CCM taifa na Makalla kuwa mwenezi wa CCM taifa

    Nilipendekeza humu ndani Makonda aondolewe kwenye nafasi ya Ukatibu auenezi, itikadi siasa na Mafunzo, na kuwekwa kuwa Naibu PM au vinginevyo Serikalini kwani huko ndiko anafiti na siyo kwenye Siasa...... Na vilevile nilitamani sana kumuona Kijana Nape akirudi kwenye Chama kuungana na Baba yake...
  7. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    ICC Arusha kulikuwa na Mikataba gani? Kama kweli Wewe ni mjuzi wa mambo....!!!
  8. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    Akili ya utambuzi huna.....nawe ni wa Wami au Namtumbo Mshamba Wewe.....
  9. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    Unaposoma Uzi humu ndani jitahidi kuunganisha Nukta utaelewaaaa.....chao
  10. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    AaAaa Wewe wa wapi kwani?....Naniiiii huyu amekupa jibu unataka Nini Sasa acha utoto hii ni Jamii forum siyo Facebook.....akili ku mkichwa....
  11. MJINI CHAI

    Kinachoendelea duniani, anayetafutwa ni North Korea tu

    Inaonekana Wewe ni Mshamba wa Wami au Namtumbo...na siku ukiiona ndege ya Raisi utashangaa kweli....
  12. MJINI CHAI

    Wananchi wakataa kunyoosha mikono kwenye mkutano wa Nape kupinga kauli za kichonganishi za Nape dhidi ya Magufuli, watu wamemchoka ajitafakari

    Pamoja na yote "uliyotapika" sisi wenyeji na wakazi was Kusini tunajua ugomvi ulikuwa wapi...!!! Ngoja nikueleze unafahamu lile sakata la Korosho Bungeni mpaka wengine kutaka kupigiwa Shangazi zao....!!! Na hapo ndipo Korosho uzalishaji ulishuka na bei pia nani alisababisha? Kama siyo ugomvi ni...
  13. MJINI CHAI

    Vladimir Putin amewataka wanajeshi wa Ukraine wajisalimishe wenyewe

    Siyo kweli kwamba hawataki Vita..,.Lengo la NATO ni kupata wanachama ambao kwa mahitaji ya Kiulinzi/vita ikitokea kwa Maslahi ya Nchi kama Marekani au Uingereza basi huko nyuma Nchi mfano Ukraine utakuta wameweka Military Base ili iwe rahisi kwao kumuattack adui Yao...... Na hii ndicho Mrusi...
Back
Top Bottom