Wakuu naomba mnisaidie simu yangu ina tatizo la kuchemka kila nifunguapo data ,nimejaribu kurestore simu zaidi ya mara tatu ili niondokane na hili tatizo la kuchemka kwa simu yangu lkn naona bado iko vile vile mpaka ss inachemka ,pia betri lake ni unremovable ,nimejitaidi kuondoa app zisizo za...
Dah pole sana kwa yaliyokukuta lkn usiwe unaweka uaminifu ktk pesa ,ni kheri akupe cash kuliji maandishi ya pesa na kumbuka hawa watu wa mitandao wengi wao hawana wema.
Nimefanya juhudi zangu zimegonga mwamba ,sawa ningekuwa na ndugu ambao wana uwezo nisingeuza mali yangu lkn nimefanya hivi baada ya kuona sina msaada zaidi ya kuuza nilichonacho.
Naitwa William nipo shinyanga ,kama mnavyojua ukipatwa na shida ulichonacho ndo kinakusaidia ,nimekuja mbele yenu wadau kama sehemu ya kutatua shida yangu kupitia godoro langu
Ninauza jamani maana nimepata tatizo ambalo limemkuta ndugu yangu ktika mihangaiko ya maisha yake nami ndo msaada...
Hukumu ni hapa hapa duniani ,ila CCM wanajidhamini sana yaani kwa makada wao wanatumia R.I.P lakini kwa ss CDM kuaga tu ni taabu mnoo hawataki !!!!ummmmhhh
Simu yangu ina support 2G only .sada kama kuna namna nawezq iflash network ikakamata 3G mnisaidie ujuzi huo nami nifurahie internet maana ss hata kuwatch youtube siwezi kabisa ,naombenj mnisaidie kwa hili sasa ,simu yangu ni Samsung Duos GT-S7262.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.