Nauza godoro, magodoro ya Dodoma .

Mjimwem

Member
Jan 27, 2017
24
13
Naitwa William nipo shinyanga ,kama mnavyojua ukipatwa na shida ulichonacho ndo kinakusaidia ,nimekuja mbele yenu wadau kama sehemu ya kutatua shida yangu kupitia godoro langu

Ninauza jamani maana nimepata tatizo ambalo limemkuta ndugu yangu ktika mihangaiko ya maisha yake nami ndo msaada kwake

IMG_20170206_221056_862.jpg
IMG_20170206_221131_775.jpg
04d04599b723acb526cf2f1ec40f0d75.jpg
lakn nazunguka kote kutafuta mteja wa godoro lkn simuoni na ndugu yangu anatakiwa atibiwe mapema na matibabu yake lazima pesa ikamilike ,ninachoomba kwa mwenye mahitaji na godoro naomba tuwasiliane 0629166514,

NAOMBENI KAMA WADAU AMBAO MPOO SERIOUS NUNUE HILI GODORO BADO JIPYA SIJAWAHI KULITUMIA HATA MARA MOJA ,NIMENUNUA 88,000 LKN KWA SHIDA NILIYONAYO NAUZA ELFU 70,000

PIA KUNA RISIT YAKE NAKUPATIA BILA TAABU ,NACHOOMBA MNISAIDIE IPI NIWEZE KUFANIKISHA HILI ZOEZI LA NDUGU YANG APATE MATIBABU ,
 
Mkuu usiuze godoro, kama ni shida ya 70 tu natumaini kuna ndugu na jamaa wenye uwezo kabisa wa kukusaidia kuipata, sidhani kama ni pesa kubwa kiasi ikwamishe matibabu japo sijui hali yako ikoje ila jitahidi kutafuta namna nyingine ya kupata hiyo 70. Usiuze usingizi huo
 
Nimefanya juhudi zangu zimegonga mwamba ,sawa ningekuwa na ndugu ambao wana uwezo nisingeuza mali yangu lkn nimefanya hivi baada ya kuona sina msaada zaidi ya kuuza nilichonacho.
 
Back
Top Bottom