Nakumbuka ilinichukua kama mwezi hivi ila ni baada ya kwenda pale nimevimba balaa nikiwajibu ovyo na kwa ukali tarehe waliyonipangia iyo siku ndio ikawa ya mwisho nikachukua cheque straight to CRDB the same day nikang'oa mpunga wangu
Hawa watu ni jipu lingine la kutumbuliwa haraka Sana, tunauhitaji mkubwa sana wa kufaham serikali imetoa kiasi gani kwenye budget kwa ajili ya mikopo na kiasi gani kimetokana na marejesho ya waliopo makazini sababu kuna kaharufu kaufisadi kwenye bodi ya mikopo
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahahahaahahahahahahahahahahahahaha mnahangaika mpaka huruma, Arusha jimbo halirudi CCM hata mtembee bila nguo... mshachokwa bora mtulie tuuuu Arusha hata jiwe litachaguliwa sio CCM.."PERIOD"
Hata ukitimia wewe inakusaidia nini masta, au ndio kusema roho yako imesuuzika kama vile utaishi milele kama malaika Hahahahahahahahahaha pole sana ndugu mjumbe na tunashukuru kwa mchango wako..
Wasiopenda kukosolewa ndio washangiliaji wa haya mambo ila mtu mwenye akili timamu huwezi mshawishi kwa hoja za ajabu kama hizi... Pole sana brother kachukue buku 7 yako ukailishe familia yako..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.