Ninayo hakika Lissu atarejea si kama Lissu aliyezoeleka

Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
Lisu ni kama dhahabu, kapitishwa kwenye tanuru LA moto sasa atatoka aking'ara kama nyota ya alfajiri akija kuimalizia kazi aliyoianzisha, shetani hamshindi Mungu kamwe
We kama unaogopa na huamini jifungie ndani ulale,
 
Ukiachana na ulemavu atakaokuwa nao (kwa madaktari wanaofualtilia wanajua), hata ari ya siasa hatakuwa nayo tena. Lazima hata nduguze wamuweke kati wamuase aachane na siasa za kichochezi za waziwazi namna ile. Yaani ni kama alivyofanyiwa Dk Ulimboka tu.

Hata kwenye ulingo wa taaluma yake ya sheria lazima atetereke, maana hapa mwishoni alianza kuchanganya taaluma ya sheria na siasa, nia ikiwa ni kutafuta kiki. Kuchanganya sheria na siasa hakujawahi kumjenga mtu kitaaluma, bali hupeteza tu. kwa maneno mengine Lissu ni Zilipendwa.
Unajua siasa za kichochezi wewe? Mtu ametetea madini yetu kabla huyo anayejifanya mtetezi na wewe pia hujajua lumumba ilipo leo umwite mchochezi!? Kabla ya awamu hii inayoongozwa na muuza nyumba zetu wewe umeshawahi kufanya lipi kutetea rasilimali zetu? Lisu alishaandika vitabu na kuwekwa ndani wakati huo wewe hujaja masomoni dar
 
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
Hata ukitimia wewe inakusaidia nini masta, au ndio kusema roho yako imesuuzika kama vile utaishi milele kama malaika Hahahahahahahahahaha pole sana ndugu mjumbe na tunashukuru kwa mchango wako..
 
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
Ningekuwa na uwezo ningemtafutia asylum nchi nyingine, arudi baadae akiwa imara
 
Kikubwa uzima mengine tuyaache kwanza juu yake maneno ukiongea hudumu isipokua ukifa haurudi ,,,itabaki angekuepo.
 
Ukiachana na ulemavu atakaokuwa nao (kwa madaktari wanaofualtilia wanajua), hata ari ya siasa hatakuwa nayo tena. Lazima hata nduguze wamuweke kati wamuase aachane na siasa za kichochezi za waziwazi namna ile. Yaani ni kama alivyofanyiwa Dk Ulimboka tu.

Hata kwenye ulingo wa taaluma yake ya sheria lazima atetereke, maana hapa mwishoni alianza kuchanganya taaluma ya sheria na siasa, nia ikiwa ni kutafuta kiki. Kuchanganya sheria na siasa hakujawahi kumjenga mtu kitaaluma, bali hupeteza tu. kwa maneno mengine Lissu ni Zilipendwa.
Ok, umeshaeleweka uko upande gani. Unaamini kuwa hoja hujibiwa kwa risasi. Na kwamba labda wewe utaishi kwa furaha na amani katika mazingira hayo. Think again.
 
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
....
....roho za kimaskini hizi
 
Mungu ameshamuokoa tayari,huamini hili ?
 
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
Naweza kuhisi harufu ya chuki na kejeli yako dhidi ya unayemuongelea. Hapa ni duniani, hujafa hujaumbika. Na majanga humkuta yeyote iwe anastahili ama la! Ungezaliwa malaika ungekuwa na haki ya kubwabwaja utakalo...
 
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.
We mnafiki sana mkuu. Eti “Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo”. Hapo hapo unasema alikuwa anaongea blahblah!

Kwa wenye kujuwa kusoma between the lines, wewe unawish awe hivyo, yani kwa maana nyingine, wewe unataka asiwe kama vile alivyokuwa hapo mwanzo kimsimamo!

Hapo unatoa ndoto zako za kitanda...Hakuna lolote ulilotolea mfano lenye kujustify hii assumption yako.

Nafahamu watu wengi waliopigwa risasi vitani, wakaponea chupuchupu, lakini wakapona na kurudi mstari wa mbele with more vengeance!
 
Maudhui yako ni yapi hapa? Watu wengine bana.
 
Akili yako ni kubwa mno!
 
Ila ningekuw mimi ningetafuta namna yeyote kulipa kisasi then najipoteza,I can't tolerate it at all
 
Hakika kwa dhoruba iliyompata ndg huyu si rahisi tena kurejelea ktk umwamba wake wa uongeaji bila kujali ulikuwa wa kweli au ilikuwa ni blabla tu!

Ni suala la mda lkn unabii wangu utatimia.

Kwa mnaotarajia ndg huyu atarejea kwa nguvu kubwa-mnajidanganya!Dhoruba ile haikuwa ya mchezo!Ni Mungu pekee ameweza kumwokoa na si vinginevyo.

Kwani wewe ulikusudia kumuua ulipompiga zile risasi?
 
Back
Top Bottom