Recent content by mjanjamimi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    wahini msiwe wajinga wahi gambushi au huko kigoma kwa wale wa si.tosahau rfa mnaelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    Ni uchawi wala. hauna shaka. wenye ndugu nendeni gambishi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania hiki ni kiingereza?

    What is your appropriate phrase to response to your customers for an answered call?
  4. M

    JamiiForums Tanzania hiki ni kiingereza?

    Tuheshimiane
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shirika la umeme tanzania (tanesco) mbona matatizo mengi?

    present your problemto TANESCO. Failure tocommunicate effectively often makes it difficult to resolve complaints. Haveall relevant information at hand when make a contact. Whenyou realize that your attempts to contact TANESCO are being ignored, or the refuses to help you, communicate in...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa serikali ni udhaifu wa rais

    Inna lillah wainna illaih rajiun
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mitandao nisaidieni HAWA WATU WANATAKA NINI?

    Haya maelezo ni ya kweli kabisa, wala usijaribu kuwaendekeza kwani waonekana wakweli unaweza ukashawishika. Kuna mmoja alinipotezea muda eti mume wake ana cancer yupo mahututi kampa maagizo atoe pesa zake msaada kabla hajafa. alituma mpaka picha yake na mumewe akiwa kitandani. Nikaenda benk moja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba Arekodiwa Siku Nzima Akiwa Hajui!

    Umeiangalia? Kuna sehemu anakula?
  9. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba Arekodiwa Siku Nzima Akiwa Hajui!

    JK anaingiaje? Sijui kesho kwa mungu utaeleza nini juu ya chuki zako? dunia ni mapito maisha yako baadae.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

    Ni akina nani hao waliopunguza idadi ya watz kwa tamaa ya mapesa yanayotokana na kuwaumiza wengine. Wataje majina yao matatu ili tuwafahamu na ikibidi tuwape pole jamaa zao. Inasikitisha sana, kuna mzee kaacha mke na watoto kwa tetesi ni kwamba keshauawa nchini china.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    Umeeleweka wala usindelee kwani matusi yataharibu jumbe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

    Hawana cha kuongea.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jiandae kuangalia TV Imaan na kusikilza Radio Imaan

    alihamdullilah
  14. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta yule alietayari PM

    Maelezo yangu binafi nitakupa baada ya kuni PM
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mpenziwangu hataki tufanye romance

    Pole sana, Inaelekea humwendei vizuri, badilisha utaratibu huku ukimuuliza kwa mapenzi kwamba unatakaje mpenzi? Kama walivyosema wengine huenda unanuka mdomo au mwili. Tafuta shower jelly za kiume au sabuni kali kama imperial na dawa za meno zenye kukata harufu, kisha uoge na kupiga mswaki...
Back
Top Bottom