Recent content by mjakazi mwema

  1. mjakazi mwema

    Hamna kitu kinaniuma kama watu kuendelea kuamini kuwa kuna uchawi hapa ulimwenguni

    Ni mawili tu kwako... 1.unaweza ukawa wewe mwenyewe ni mwanga. 2.au haujui unacho kiongea na ukidhani kufanya hvyo ni ishara ya kuwa civilized
  2. mjakazi mwema

    GE2020 Kama tungekuwa na uchaguzi wa Rais wa Dunia, Magufuli angeshinda asubuhi!

    Unatumia nn kufikiri we Jamaaa, Rwanda walianza hvyo hvyo Kisa nyie praise and worship team. Hujitambui
  3. mjakazi mwema

    Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

    Hapa Kuna jambo mnachanganya waungwana... Part tym haina permanent contract.. Hão Lazima walikua na permanent contract ndani ya muda huo huo wa kazi
  4. mjakazi mwema

    Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

    Unaharaka na maisha dogo... Maisha sio rahisi hvyo.... Umri huo unajitia laana ,mbona bado chalii sana wewe
  5. mjakazi mwema

    Mbeya wadada fanyeni kazi

    Wanawake wa mkoa wa mbeya ni watafutaji na wapambanaji... Pita masoko yote maarufu mbeya wamejaa akina mama... Anzia Tukuyu, kiwira, sido, soweto, mbalizi n. K Hao ulio kutana não nina wasi wasi não walikotokea... Acha Fallacy of generelization
  6. mjakazi mwema

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Green houses [emoji3][emoji3][emoji3]duuh
  7. mjakazi mwema

    Ushauri: Mbunge Sugu acha kuwajibu kwa jaziba wapiga kura wako

    Hamia mbeya tukuchague wewe Ili tusiwe má zwazwa, Una hakika gani alie muuliza swali ni mpiga kura wa mbeya? Nenda kafue......
  8. mjakazi mwema

    NSSF Ni kero kwa wanufaika

    Nssf ni janga kuu zaidi ya nzige wa jangwani. Nilienda kutibiwa hospitali x nusu nifie mlangoni Kisa mwajili hajapeleka mchango kwa miezi mitatu na ukizingatia mishahara hatujapata tangu corona ianze. Kilicho ni kera kule nssf kuna ukwasi zaidi ya 15m Lakini sikupata matibabu
  9. mjakazi mwema

    Leo tarehe 28/08/2017 Redio free Africa inatimiza miaka 22, njooni tukumbushane vipindi na watangazaji

    Ninaipenda hii rádio mpaka Leo, hasa wanapo jiunga na idhaa za kiswahili kama dseutche welle, BBC na sauti ya América
  10. mjakazi mwema

    Kuficha pesa Uswisi, ujinga wa kiwango cha juu

    Jamaa wana akili sana hawa
  11. mjakazi mwema

    Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Hongera sana Boss, Nenda nawe kawatendee Wengine wema huo na mungu atakubariki zaidi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mjakazi mwema

    Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

    Huu uzi umejaa Ubaguzi. Africans tumebalikiwa na Kipi? Tumegundua nn hasa kinacho isaidia Human race Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mjakazi mwema

    Hotuba kali ya mtoto Haramu

    Hata suleiman or solomoni alikua hvyo pamoja na mm ninae andika hapa. Ila sijawahi amini kama mm ni haramu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom