Sijamuona kitambo huyu mwamba wa Geneva, arudi kutupa madini ya Geneva.Haya mamno humu jf mtaalamu ni Parabora mcheki ila yy ukitaka konekseni na geneva fasta tu
mi nataka jilipua italy kama covid ikpunguza mchecheto hv!.. Hla sijajua kwao imekaaje!
Mkuu na gharama za maisha zikoje? Inawezekana mshahara mdogo lakini gharama ziko chiniSpain mishahara midogo sana, hata sio kwa kupatamani.
Lots of Africans wanafanya kazi kwenye greenhouses
Kumbe Muungwana sana.Sawa mama.Japo umenijibu kama nimeku-attack.Take it easy.