Recent content by MjajaroKaterero

  1. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Tujipange kugawana hao Mapacha wa Chuo cha Ardhi wenye skendo ya kufanyiana Sup ya Hydrology

    https://www.jamiiforums.com/threads/mapacha-waliokiri-kufanyiana-mtihani-chuo-matatani-chuo-cha-ardhi-wasema-wanachunguza-suala-hilo.2191785/
  2. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Ni kama tumekuwa fooled kusahau kuwa UKIMWI bado upo

    Stop fornication... Condoms ni sawa na chanjo ... nothing less, nothing more...
  3. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    Kwani Manara alishawahi kuwa na NDOA?
  4. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Chapati na Mihogo ya kukaanga ndiyo uchumi mpya wa Dar es Salaam?

    What? Wabongo bhana...
  5. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Chapati na Mihogo ya kukaanga ndiyo uchumi mpya wa Dar es Salaam?

    Chapati 1 + Maharage + Juice ya Miwa = 1500/=
  6. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi: Mzee alitupa wosia akiwa hai mimi niwe msimamizi wa Familia pamoja na kuwa kuna wakubwa zangu

    Word.. MYOB... mind your own business... wakati wote
  7. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wilaya ya Kigamboni maendeleo yapo taratibu sana?

    Ushirikina mwingi na ukosefu wa maji safi na salama
  8. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Njiapanda: Mzee anataka turudi kijijini wakati mama anataka tubaki mjini

    Kama mke hajastaafu au ana biashara zake na haki ya kubaki mjini, otherwise mshahuri mzee amwache mke mjini.
  9. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Ngono ndio chanzo cha umasikini wetu wanaume

    By "rule of inference" the so called kipato kikubwa anahonga kwa kuzidisha mara 10 ya 80k ie 800k, 8,000k, etc
  10. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Tumalizie charge kwa kutaja nyimbo za kibongo 5 ambazo ni "TIMELESS"

    Napenda nipate lau nafasi ya KILWA JAZZ
  11. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Kwa waliochanja Chanjo ya CORONA Njoni mtoe uzoefu Ili tupime ufanisi.

    Mimi nililaImkika kuchanja kwa kuwa nilikuwa na safari nje ya Tanzania kwa hiyo sikuwa namna. Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote niliyopata au nayapata. Nina miaka takribani 15 sijawahi kwenda hospital kwa tatizo lolote la kiafya
  12. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Tupo na wazee kama mimi hapa jamvini!!! Je? Hassan Moyo alikuwa na uhusiano na Nassor Moyo?
  13. MjajaroKaterero

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara bilionea Dar es Salaam, adai kutishiwa maisha, akimbia kwa pikipiki kutoroka asiuawe hadi Arusha

    Bongo Nyoko kweli kweli... Bilionea anakosa milioni 129
Back
Top Bottom