Wakati akishangilia goli lake kuna style aliitumia,Nadhani inaweza kuwa imechangia kwa kiasi fulani lakini yote kwa yote Mungu ndiye ajuae siri ya kifo,Na hakuna ajuae R.I.P. Ismail.
Niliwahi kumuwekea kipande cha kioo chini dada mkuu ili nione kavaa chupi ya rangi gani, Aiseee kipigo nilichopata siku hiyo huwa sisahau ,kwa sababu nilifungiwa ofisin walipiga walimu wote siku hiyo.
Ndio maana wakati wa kampeni zangu sikupewa wala kupokea mahela ya wafanyabiashara ,"Na kama yupo mfanyabiashara ambae alinichangia chochote wakati wa kampenio aseme ".
Nilimsikia Shafii siku ambayo Yanga walifungwa na Mbeya city aliongea kwa hisia kabisa kwamba goli la pili ambalo walifungwa Yanga walionewa, Sijui alitumia sheria zipi .
Pili mashabiki ,wanahabari na viongozi kwa ujumla walianza kupenda hivi vilabu kabla ya kupenda mpira ndio maana linapokuja...
Mkuu kwanza hongera kwa kazi nzuri,ila nakuomba siku mkipewa nafasi ya kukutana na muheshimiwa rudia swali lile lile ulilomuuliza mkiwa Ikulu, kwa sababu mi naamini hakukujibu swali lako zaidi ya kukwambia Mayalla oyeee.
Huu ndio ushauri wa kumpa,mwanamke mjengee uwezo wa kujitegemea ungali hai,kusoma sio kila kitu jaman utakuja kulalamika tena mkeo kasoma amekosa ajira.
Pili kama ni elimu wekeza kwa watoto .
Over.
Mkuu mi mwenyewe nilibaki nimeduwaa,Mpaka leo sielewi waliiruhusu vipi harafu ipo tu unaipata kiurahisi kabisaa,lakini nasikia yule dada kalipwa pesa nyingi sana kucheza zile sehemu.
Umemaliza majibu yote feitty,lakini mimi naona familia ambazo wamelelewa katika mazingira ya kuheshimu na kumuogopa Mungu,afadhari kidogo sio wahanga wa tatizo hili.
Sipendi kuona mtu anaonewa kabisaa,yaani niko radhi kusimamisha shughuli zangu zote ili nimsaidie anaeonewa nikishamsaidia moyo wangu unakuwa na amani sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.