Recent content by mito

  1. mito

    Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

    Madogo wameiga mapenzi ya kizungu, sasa yanawayesa vibaya mno
  2. mito

    Msaada: Sidhani kama nitakuja kuoa, nimeathirika na suala hili

    Wee kama unaoa ukitegemea kujibinafsisha shimo lake, bora uache tu mapema, hutampata wa kwako kwako
  3. mito

    Baada ya kugundua kuwa wamepigwa kwa Conte waliyemsifia na kumpamba sasa wameamua Kumrudisha Daktari wa Mpira Aucho

    Hata apewe muda gani Conte awezi fikia ubora wa Aucho. Kumwacha Aucho Yanga wamezingua pakubwa
  4. mito

    Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Maiginzo mapya yanga wote wa moto kwa nilivyoona leo, ni suala la muda tu gap la Aucho na Mzize halitaonekana
  5. mito

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Utapoteza muda wako bure kujibizana na huyo
  6. mito

    Kwanini Wanawake wanajichukia?

    Kabisa my sisy
  7. mito

    Kwanini Wanawake wanajichukia?

    Atoto eti na wew unajichukia my dada
  8. mito

    Huyu mshambuliaji wa Williete Club De Benguela ya Angola sio wa kumfanyia mzaha ni wa kuchungwa sana pindi Yanga itakapokutana na hii timu

    Yale magoli alofunga jana ni mepesi sana, hayana ufundi yale yote, hata Ateba angefunga tu Ila ngoja tuendelee kumtizama mechi zijazo
  9. mito

    Tetesi: Espérance de Tunis kutoa 2.4 billion Kwa mzize

    Jasmine anaenda kuzingua tena kwenye maslahi ya mchezaji kama alivofanya Al Sadd FC ya Qatar
  10. mito

    BRICS Currency Will soon going to challenge Dollar

    India umesema ilijiondoa, mbona umeiweka kwa list sasa
  11. mito

    Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Al Sadd Fc ya Qatar iliweka mezani 2.2B kwa Yanga, kumbe walikuja kushindwana na menejiment ya Mzize sababu ya kutaka mshahara mkubwa hivi eeh
  12. mito

    Kagoma na kitendawili cha kiungo mkabaji

    Lakini Muda si anachezaga kiungo cha juu
Back
Top Bottom