mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Hana thamani ya hela hyo
Hana thamani ya hela hyo
Michezo gani hii wanafanyiana hawa.Wengine wanajigeuza kuwa Kambale.......View attachment 3437587
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Jasmeen anataka maslahi ya mchezaji wake kwanza kabla hajauzwa.Wapi Jasmineee
Sio vitu vyakehawezi kucheza penalty basi inahitaji ufundi
Ndo hivyo Yanga imem,brandHana thamani ya hela hyo
Tumeielekeza time ya maadili ilichunguze jambo hiliMichezo gani hii wanafanyiana hawa.
Yanga hawawezi kumuuza. Ni ngumu sana kwa mchezaji kuuzwa na Yanga. Toka enzi za akina Ngasa na Tegete, hadi simu walikatazwa kupokea.Sio tetesi ni ukweli kabisa
ufundi hana
Samani= thamani. Kiswahili jamani nacho kinatushindaok.lakini sokoni hana samani kubwa sana kwasababu alishindwa kuwaka kimataifa anawaka ndani tu.
jibu swali acha kujitia mswahili sana wakati shule ulikuwa unafeli somo la kiswahiliSamani= thamani. Kiswahili jamani nacho kinatushinda
mzinze anamiaka mingapi?
Nilisema si rahisi kumuuza hawa jamaaYanga hawawezi kumuuza. Ni ngumu sana kwa mchezaji kuuzwa na Yanga. Toka enzi za akina Ngasa na Tegete, hadi simu walikatazwa kupokea.
Daaah basi wanazungua .... Kwamba hawapendi pesa???Yanga hawawezi kumuuza. Ni ngumu sana kwa mchezaji kuuzwa na Yanga. Toka enzi za akina Ngasa na Tegete, hadi simu walikatazwa kupokea.
Sijajua hadi kuiweka kwenye page rasmi ya klabu wako serious kuwa hawamuuzi au wanamfanyia kebehi JasmineDaaah basi wanazungua .... Kwamba hawapendi pesa???
Hilo dili likitiki, Jasmine atalia 😭 mpaka sauti ikauke. Maana alishajipakulia minyama yake ya kutosha kwenye dili lake la Al Masry! 😀Wapi Jasmineee