Kwanini Wanawake wanajichukia?

Kwanini Wanawake wanajichukia?

Kuna mmoja ni mkenya anaitwa samira aliwahi niambia yaani angekuwa mwanaume angekuwa "anawakula sana wanawake'😕😕. Hii kauli ilinipa red flag hivi kichwani... huenda fuse zingelegea kidogo angekuwa lesbian
 
Mwanamke anajichukua kwa maana ni mwanamke

Ndio asili yake , ndio sifa yake

Sasa ukitaka uendane kama vile ukiume wako ulivyo basi unakosea sanaa na unajisumbua.

Mwanamke dharau,
Mwnamke kulinga,
Mwanamke kudeka

Hii ndio asili yao.
mwanamke kwenda hedhi, mwanamke kuchezewa makalio huku yakitikiswa kwa nguvu yote haya ni machukizo😊😊😊
 
Kuna mmoja ni mkenya anaitwa samira aliwahi niambia yaani angekuwa mwanaume angekuwa "anawakula sana wanawake'😕😕. Hii kauli ilinipa red flag hivi kichwani... huenda fuse zingelegea kidogo angekuwa lesbian
Duh kwanini asikubali kuliwa sana🤣
 
Back
Top Bottom