Recent content by MissM4C

  1. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Yes VPN Fresh
  2. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Alitufundisha Internmedicine Cardiology, je ni experience alitumia?
  3. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu shambulio la gari la watumishi wa TRA eneo la Tegeta, Dar es Salaam

    Kwa hiyo ili uajiliwe TRA unakuwa umepitia mafunzo ya kukamata? Mhhhhhhh, Namba DHX ina miaka zaidi 3 ilikuwa ina oparetije?
  4. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwamposa kuimba wimbo wa taifa kanisani kwake?

    National Anthem is sung under three or 4 conditiin 1. National events 2. When the president adress the nation 3. When presidents host felow presidents
  5. MissM4C

    JamiiForums Tanzania UKIMWI upo ndugu zangu

    UKIMWI hauui, halafu ana VVU sio muathirika
  6. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Mhasibu wa Halmashauri apiga milioni 213

    Msikose kutuletea mrejesho wa hatma ya hilo, isije kuwa mkurupuko
  7. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 Nchini Tanzania

    Mhhhh
  8. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi

    Internal Bleeding, huemda Magumga ni kituo kidogo kilichoanza upasuaji karibuni, timu ya RAS/RMO ikajifunze vhangamoto kilichopo pale. Kama ni uzembe au compentency ya madakatri
  9. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

    Wamekwambia shida mini?[emoji1787]
  10. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anapata wapi pesa za kuchezea?

    Biashara hiyo watu wanapiga pesa
  11. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Pombe 31/12/2023

    Nimekuwa mdau tangu 2016 leo baada ya miaka 7, nimetundika daruga. Nanyi pia nawaombea
  12. MissM4C

    JamiiForums Tanzania Utapeli gani uliwahi fanyiwa ukabaki unajicheka mwenyewe

    1. Naenda zangu Nairobi, msibani, niko na familia na mama mzazi, kupitia border ya Isbania, mwenzangu ndo kwao huko, kabla nishawahi kufika ila nilipitia boda ya Tarakea, baada ya kuvuka akaniambia nenda ukachenji pesa. Nilikuwa na 500,000/= ya Tanzania. Ukivuka tu boda Sirari pembeni kuna...
Back
Top Bottom