Recent content by Mission

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua tiba ya flatulence/ tumbo kujaa gesi

    Asante..... Mafuta ya nyonyo nitayatoa wapi mkuu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua tiba ya flatulence/ tumbo kujaa gesi

    Aisee najamba mnoo kila mara ndo nataka kujua namna ya kuacha... Nakosa raha nikiwa kwa watu wengi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua tiba ya flatulence/ tumbo kujaa gesi

    Jamani anayejua tiba ya tumbo kujaa gesi naomba anisaidie
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wanawake wakibongo hupenda wanaume wasumbufu?

  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    Unataka utajirikie kwake? Haya akikulipa hiyo faini ukumbuke kutoa sadaka.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kurubuni mabinti wadogo

    Wakubwa mnaringa sana acha tujisevie watoto wabichi
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu bado wanaamini wakiingia kwenye ndoa hawatasalitiwa milele?

    daaaah!!!! unajiamini eeeeh? kila la heri
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa marafiki wote wa MMU

    There you are, nothing to add.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

    Basi sawa. Maisha lazima yaendelee
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na 'first boyfriend' anataka turudiane

    Hauwezi kuchomoka hapo. Huyo lazima akutafune halafu atakutema sio mda. Utabaki unaugulia tu huku yeye, kama kawaida ya wanaume akijisifia kwa kukutafuna. haaaàahaaaaaa!!!!!!
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Acha kazi. Thamani yako ni kubwa kuliko hiyo kazi yako. MUNGU akutangulie Amen.
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinadada mtalia sana kwa kutojielewa

    Ndipo uwezo wao wa kufikiria ulipoishia
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Kuna kosa kumsifia mtu wa jinsia yako awe Me/Ke?

    Labda nisifiwe na mwanamke ila mwanaume mwenzangu mhhhhhh!!!! hapana
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sexual Immorality

    Dada kusubiri tena? Me Nina miaka 25 nataka kuoa nikifikisha 35 unadhani nitaweza kusubiri? Ngumu kumeza hii
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona haya kwa mkeo kuwa dikteta haraka

    Me nimeamua kuwaachia dini zao maana nimechoka na tabia zao mbovu. Endeleeni Nazi tu me sina kazi nazo
Back
Top Bottom