Recent content by Missassauga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama we ni genius ingia hapa utoe jibu

    4
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

    Hivi huyu Jamaa analeta mada Kama hii kweli ameenda shule huyu Jamaa. Ongea Vitu vya muhimu. Utafikiri Mtoto wa miaka 10. Jichunguze brother unapotea
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimenyimwa unyumba takribani mwezi wa pili sasa

    Tueleze jinsia yako tukupe ushauri mzuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya maboresho ya Rav 4

    Weka rim ya Adabu. Halafu tinted kasoro Vioo Nya mbele pia tafuta carrier ya sport original ya Rav4 na mud flaps. Utakuwa umemaliza itakuwa Kama laki nane vyote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania; Iran na Saudi Arabia, tupo upande upi?

    Hayo mambo tuwaachie nchi waliogombana nazo. Haimaanishi kwamba kwasababu marekani au uingereza umegombana na nchi hizi basi na cc tugombane nazo hapana. Nchi zote mbili Ni nchi rafiki kwetu na itabaki kuwa hivyo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heavy Duty Tires

    Naombeni msaada natafuta tairi Za Michellin 445/80 R 25 Very urgent, nimewacheki BinSlum na Superdoll naona hawana Please mail 255786485243
Back
Top Bottom