Kwa taarifa za uhakika zilizonifikia hivi punde tu ni kwamba

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Inasemekana Kwamba Kumbe Haya Magari Watu Wanayoyamiliki Yamegawanywa Ktk Makundi Makuu Mawili Ambapo Kundi La Kwanza Ni Lile La CHOMBO TU CHA USAFIRI Na Kundi La Pili Ni GARI LENYEWE Na Mimi Bila Hiyana Naweka Mambo Yote Hadharani Kwenu Ili Mjue Hii Kitu Na Tuondokane Na KERO Na SHOBO Zisizo Na Msingi Humu Mitaani Na Mijini.

KUNDI A. VYOMBO VYA USAFIRI NI KAMA VIFUATAVYO:
  1. BAISKELI
  2. GUTA
  3. PIKIPIKI
  4. BAJAJI
  5. STARLET
  6. CARINA
  7. VITZ
  8. IST
  9. ALTEZZA
  10. SPACIO
  11. OPA
  12. SUZUKI
  13. VOLSWAGEN
  14. PEGUOT
  15. LAND CRUISER
  16. NOAH
KUNDI B. MAGARI HALISI NI KAMA HAYA YAFUATAYO:
  1. BENZ
  2. VEROSSA
  3. RANGE ROVER
  4. MAZDA
  5. BMW
  6. DISCOVERY
  7. NISSAN PATROL
  8. VX
  9. CHASER
  10. CRESIDA
  11. HUMMER
Unadhani Ktk Hayo Makundi Mawili Makuu Ni Kundi Lipi Ambalo WANASTAHILI KURINGA NA WANAONEKANA KUWA NDIYO WENYE JEURI YA PESA Na Ni Kundi Lipi UNADHANI WATU WAKE WANASTAHILI WAACHE SHOBO NA MAJIGAMBO YAO HASA HAPA KWETU TANZANIA?

Karibuni.
 
Kwan

A tuambie Kati ya haya makundi uliyoyataja wewe uko na chombo cha kundi lipi,naomba ujibu kwa kutegemea muumba wako anakuona na alikukanya kuwa kusema uongo ni dhambi.
 
Yaani guta iwe kundi moko na land cruiser,tema mate chini mkuu au wametumia kigezo kipi kurank namna hyo?
 
Kujibu nako ni kupoteza muda vile vile
viroba sijui kwa nini visipigwe marufuku
 
we jamaa akili imekuruka, lazima ufe mwaka huu.
 
Yaani guta iwe kundi moko na land cruiser,tema mate chini mkuu au wametumia kigezo kipi kurank namna hyo?

Hivi Ile Uliyopaki Hapo MISUFINI Morogoro Kwa Ucle Na Aunt Wetu Baada Ya Kupatwa Na Ajali Ile Mbaya Ya Chalinze Ni Aina Gani Ya Gari Vile! Hapo Inaingia Ktk Kundi Gani?
 
Back
Top Bottom