Tanzania; Iran na Saudi Arabia, tupo upande upi?

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
18,402
16,405
Mgogoro wa Kidiplomasia wazidi kufukuta na baadhi ya nchi za Afrika kama Sudan, Somalia na Djibouti zimetangaza kuwa zipo upande wa Saudi Arabia!!

Nauona mgawanyiko wa Wasuni na Washia hapa!

Tuna uhusiano mzuri na Iran, the same way na Saudi Arabia (hijra)...
tuisupport Iran! Tunafaida nayo zaidi.
 
Kidiplomasia tanzania kama nchi haiwezi kushika upande wowote.tunashauri jamaa wakae mezani kuweza kutatua gogoro hilo linaloweza kufanya bei ya mafuta kupaa
 
Tanzania IPO upande wa mashariki mwa bara la Afrika. Ama kidiplomasia, Acha kubeba agenda ya America (sunni-shia scheme)
 
Tui support Iran wakati sisi ni omba omba tunategemea misaada kutoka Western countries!!!!????
 
Hao wote wamoja hakuna haja ya kuingilia, watajuana wenyewe sie tujikite na ya zanzibar.
 
Hayo mambo tuwaachie nchi waliogombana nazo. Haimaanishi kwamba kwasababu marekani au uingereza umegombana na nchi hizi basi na cc tugombane nazo hapana. Nchi zote mbili Ni nchi rafiki kwetu na itabaki kuwa hivyo
 
Mgogoro wa Kidiplomasia wazidi kufukuta na baadhi ya nchi za Afrika kama Sudan, Somalia na Djibouti zimetangaza kuwa zipo upande wa Saudi Arabia!!

Nauona mgawanyiko wa Wasuni na Washia hapa!

Tuna uhusiano mzuri na Iran, the same way na Saudi Arabia (hijra)...
tuisupport Iran! Tunafaida nayo zaidi.

Tupo Upande wa Mungu na siyo Binadamu!
 
Back
Top Bottom