Bei ya maboresho ya Rav 4

nickvalerion2810

Senior Member
Mar 31, 2015
112
36
Habari wana jamii mie nina Rav 4 yangu ni ya 1998... Nilikuwa nataka kuiboresha kwa kuiweka tincted vioo na kubadili realm na pia kama ikiwezekana kuipiga bumper kioo cha nyuma na mbele nilitaka kujua naweza kuingia gharama kama kiasi gani pamoja kwa kunyumbulisha
 

Attachments

  • 1452174612695.jpg
    1452174612695.jpg
    46 KB · Views: 263
ream sports used 5@200,000.00
madflap original 200,000.00
pambo la nyuma juu 200,000.00
nyuma chini 175,000.00
kiujumla andaa 2m
 
Kuremba gari ni ushamba...we piga tinted tu inatosha funga matairi ya maana hata kama rim ya kawaida tairi zinaonekana... Eti utakuta mtu kaweka na tv kwenye gari wakati hata abiria wanapenda kuangalia nje sasa sijui tv nani anaangalia
 
Kuremba gari ni ushamba...we piga tinted tu inatosha funga matairi ya maana hata kama rim ya kawaida tairi zinaonekana... Eti utakuta mtu kaweka na tv kwenye gari wakati hata abiria wanapenda kuangalia nje sasa sijui tv nani anaangalia
kila mtu ana individual interest mkuu... usisema ni ushamba
 
1452174612695-jpg.315412

mbona RAV 4 hiyo inalipa tu!
utaboresha mwishowe utalichafua na kwa taarifa yako zimeshatoka Model nyingine kibao
km si mtama kwa watoto kwa umri wako unavyokuruhusu achana na mapambo piga Tinted tosha
 
Shukrani kwa michango yenu wadau....nahisi nitaanza na tincted kwanza kisha nitatafuta rim nzuri zinazoonekana.....
 
ream sports used 5@200,000.00
madflap original 200,000.00
pambo la nyuma juu 200,000.00
nyuma chini 175,000.00
kiujumla andaa 2m
Asante sana mdau nahisi nitaanza na ream sports na pambo la nyuma juu nitapiga tinted basi
 
Last edited:
Weka rim ya Adabu. Halafu tinted kasoro Vioo Nya mbele pia tafuta carrier ya sport original ya Rav4 na mud flaps. Utakuwa umemaliza itakuwa Kama laki nane vyote
 
Back
Top Bottom