Recent content by miss_mbeya

 1. M

  Binti wa Bill Gates, waliosema hayawi sasa yamekuwa...

  Mswahili ni mswahili hata awe msomi vipi
 2. M

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  [emoji3][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji849][emoji848]
 3. M

  #COVID19 Uganda yafunga shule kwa muda mrefu kutokana na COVID-19

  Wiki 77 nyingi sana anataka hela za msaada tu ,watoto hawaadhiriki kwa kiasi hicho tofauti na watu wazima ,hii corona haiishi
 4. M

  Tupo viwanja ya Mazaina, Chato karibuni tuwahudumie

  Simu za mezani ni bei gani ?
 5. M

  Vifurushi vya simu vyapanda kimya kimya

  Yaani ni kilio ,bank napo wameongeza gharama mfano nbc ukitaka kutoa milion moja maximum ni 200000 kwa Atm kwa hiyo utatoa mara tano ,huku airtel nikinunua bado la 10000 napata Gb 4 ndani ya siku 3 zinaisha ,sijui mwenda zake atarudiini...
 6. M

  TANZIA My dad is gone

  Pole sana mkuu Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa faraja katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na baba
 7. M

  TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

  R.I.P Warumi ,we will miss [emoji22] [emoji813] you Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 8. M

  JamiiForums Usiku wa manane

  Ohoo pole usiku usiwe unakunywa kahawa
 9. M

  Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

  Degree GPA ya 3.9 na degree ya pili GPA ya 3.7 zote hazijawahi kunisaidia kitu hahaaaa
 10. M

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Mbozi ipi kijana labda Tunduma au mlowo kwa wafanyabiashara ,Chaula wa Vwawa alushaacha siku hizi kazeeka ilikuwa zamani sana,tumgoshe tumleshe
 11. M

  Nimeoa mwaka wa tatu huu naenda lakini sijabahatika mtoto mimi na mke wangu

  Yaani mkuu nimecheka sana [emoji28]
Top Bottom