Niko hai sababu ya mtoto wangu

Niko hai sababu ya mtoto wangu

Mungu ashukuluwe kwa ajili Ako,
But as for me ni mwaka wa Tano and counting kila siku linazaliwa jipya kila leo afadhali ya Jana
Mungu anikumbuke uniombeage my dr Sina ata nguvu ya kuomba tena Mungu tu anihurumie
Usijari kila kitu kitakua sawa, kikubwa simama ktk imani yakoo na uishike haswaaa.
Ni upepo utapita tyuuh
 
Pole,duniani Kuna dhiki kuu,Ila joeni Moyo....jipe Moyo mama
 
Sio mtaalam sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai saivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani.

Kwa huzuni, majukum na uchungu niliobeba ningeweza kumuomba Mungu nife ata leo nipumzike but ni vile Nina jukum la kulea na kumlinda huyu kijana wangu
Basi niseme tu Mungu tusaidie Mungu tukumbuke

Nyie mi nimechoka kua jasiri
Pole sana, Mungu akupe faraja kwa unayoyapitia
 
Sio mtaalamu sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai sasa hivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani.

Kwa huzuni, majukumu na uchungu niliyobeba ningeweza kumuomba Mungu nife hata leo nipumzike, but ni vile nina jukum la kulea na kumlinda huyu kijana wangu. Basi niseme tu Mungu tusaidie, Mungu tukumbuke.

Nyie mi nimechoka kuwa jasiri.
Pls Pm me
 
Pole sana my dear ,duniani hakuna kukata tamaa,changamoto tumeumbiwa binadamu ili tuzikabili nankadri unavyopitia changamoto akili inajengeka as unakuwa strong ila sugu ,Muombe Mungu akushindie hiyo/hizo changamoto ,tunapitia wengi but but tunasimama na kumuomba Mungu na kusonga mbele ili tulee watoto na wazazi wetu wanatutegemea.
 
Pole sana mwenzio nilitaka kujitosa baharini nikakumbuka nemo moja tu endapo mungu akiniuliza nitajibu vp aah we acha tu
 
Sio mtaalamu sana wa kiingereza, lakini kama nipo hai sasa hivi ni kwa sababu naona hamna mtu atakaelea huyu kiumbe niliemleta Duniani.

Kwa huzuni, majukumu na uchungu niliyobeba ningeweza kumuomba Mungu nife hata leo nipumzike, but ni vile nina jukum la kulea na kumlinda huyu kijana wangu. Basi niseme tu Mungu tusaidie, Mungu tukumbuke.

Nyie mi nimechoka kuwa jasiri.
pole sana.
 
Mshukuru Mungu kwa uhai alokupa,haijalishi unapitia magumu gani lkn tambua kwamba Yana mwisho,usimkufuru Mungu,kakuleta hapa duniani kwa makusudi yake.
 
Polee sanaa Dear,
Niliwahi kumbwa na hali hiyo 9yrs ago,
Nilikua naomba nife, dunia ipasuke niingie, nipotee machoni pa watu, yaan nilikua najichukia.

Ila nashukuru mtu m1 alinishika mkono na kuwa mkombozi wangu, hadi leo hii nipo hapa nikiwa na ujasiri, ari, nguvu, kasi ya kupambana na lolote linalokuja mbele yangu.

Nawee naomba uondoke ktk hali hiyo, kukawe na wepesi ktk hilo.
Safi,watu wana changamoto ni vile tu hawasemi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom