Wana jf naombeni msaada nimeitwa kwenye interview na TRA kutokana na majukumu sikuweza kuhifadhi tangazo la nafasi za kazi plz mwenye link naomba aiweke hapa. Msaada wenu unahitajika.
wanaume wa siku hizi ni majanga me wa kwangu tumeanza kujenga maisha vzr alivyonunua tu gari nilikuwa namuona sasa mda wote anazunguka na watt wazuri kwenyw gari full bata me tena tuliyekuwa tunashauriana nikapitwa na fassion. jamani achene tu...
songa mbele mdada utapata mwenye mapenzi ya dhati muache huyo na tamaa zake, pia usikubali kurudia matapishi atakuona mnyonge ameshalipata huko alikotoka
Mtu yeyote aliye mstaarabu na anauoga na Mungu hawezi fanya ujinga huo, hiyo kitu naichukia sana kama umeamua kuwa na michepuko guest ziko kibao mpeleke huko. Kwann kitanda unacholala na mkeo/mmeo. Watu kama hao nawaita malimbukeni
jaman topic imenigusa sana me wa kwangu tukigombana hataki muongee mpate suluhu, hatapokae cm wala kujibu msg cku akijisikia atapokea call yako na hatataka muongelee tatizo lililopo na mara zote yeye ndie chanzo cha ugomvi, mara zote mi ndio nambembeleza. Nimefanya hivyo mara nyingi kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.