TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,281
- 27,962
Hahahah mkuu mbona unawatetea wapiga debe hivo au na ww ndo shughuli yako nini?
Mkuu wajiriamali wale...na kumbuka tuko kwenye soko huria/ulia...wale wanauza huduma kijariamali...wahusika walitakiwa kuwashirikisha wadau hawa kuchagua jina la kituo. Nina watetea sababu hiyo tu..!