Mr Econ
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 494
- 114
Hivi mwanaume wa hivi yupo duniani? Kama yupo naomba Mungu anikutanishe nae.
mimi hapa
Hivi mwanaume wa hivi yupo duniani? Kama yupo naomba Mungu anikutanishe nae.
nipo radhi kumuhudumia mpenzi wangu bila kutegema malipo,tatizo mwanaume mwenye pesa au akija kupata pesa an dharau sana na anona unahitaji kutumia pesa zake which is not true mambo kama hayo yapo lakini sio katika kila mtu wengine huwa na upendo wa dhati mimi natamanigi kumpata mtu nianze nae chini ila basi tuqe wanaume wenye maisha flani mnakuaga na dharau sana
Aisee ya kweli hayo? I wish namiye nimpate wa hvyo!! Loh
wanaume wa siku hizi ni majanga me wa kwangu tumeanza kujenga maisha vzr alivyonunua tu gari nilikuwa namuona sasa mda wote anazunguka na watt wazuri kwenyw gari full bata me tena tuliyekuwa tunashauriana nikapitwa na fassion. jamani achene tu...