Tangazo la kazi TRA july

miss tassi

Member
Feb 12, 2014
11
2
Wana jf naombeni msaada nimeitwa kwenye interview na TRA kutokana na majukumu sikuweza kuhifadhi tangazo la nafasi za kazi plz mwenye link naomba aiweke hapa. Msaada wenu unahitajika.
 
Sasa kama ulikua na kazi nyingne uliapy ili iweje?au ndo tamaa za fisi?
 
nimeitwa na mimi kwenye assitanat customs officer. Ila pitiapitia naona mishahara yao midogo sana eti laki 9 net.
 
kwa hiyo wewe majukumu unayoyajua ni kazi tu, husomi taarifa vizuri unakurupuka kama umetoka kuamka kama huna hyo link kaa kimya.
 
Back
Top Bottom